Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

xox

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
1,396
6,499
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.


 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake...
Hajawahi kujiamini hata siku moja kitu kinachomfanya awepo na kuendelea kuwepo hapo ni usalama wa taifa vinginevyo angekuwa ameachia ngazi muda mrefu.

The state instrument is very powerful to retain someone in position irrespective of the challenges facing
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake...
Wazee wanasema tai ukimfuga akiwa kifaranga, akikua lazima arudi kwake angani.

Mama ni mama wa kiswahili, vijembe, mipasho na kusuta ndio asili zao.

Urais ilikuwa ni kumuonea tu. HAJIAMINI
 
Back
Top Bottom