Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,781
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.

Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.

Chanzo: ITV
 
Haya tuseme ilikuwa mwana kijani wa nafasi ya huyo ambayeinasemekana SII special katika uhalifu wa aina hiyohito je majibu Bado yangechukuwa muda wote huo?
 
Shambulio limeratibiwa na serikalious lichinguzwe ili iweje?
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye kwa tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.

Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.

Chanzo: ITV
 
Wewe
Simbachawene, inua macho yako juu, mwombe Mungu wako wa KWELI ayape KIBALI maneno yanayotoka kinywani mwako yasiwe ya kinafiki
Unadhani Tundu ni special sana kuliko vijana na wamama waliouliwa arusha na sehemu zingine na watu wasiojulikana?

Watu wote ni sawa hivyo tulirni na kama mna ushahidi nenda polive upeleke kwa yule unamtetea.
 
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye kwa tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa usawa.

Simbachawene amesema ifike mahali watanzania waelewe jukumu la polisi ni kulinda raia wote na mali zao kwa usawa na isionekane fulani ni muhimu kuliko fulani.

Chanzo: ITV
Porojo tu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Shahidi muhimu si ameshafariki? Anyway, wengine wote waliohusika wapatikane na wafikishwe kwenye mkono wa sheria japo haki iliyocheleweshwa ni sawa na haki iliyonyimwa.
 
Siku hizi Simbachawene anaharisha hovyo hovyo...kauli za hovyo kabisa
 
Wewe

Unadhani Tundu ni special sana kuliko vijana na wamama waliouliwa arusha na sehemu zingine na watu wasiojulikana?

Watu wote ni sawa hivyo tulirni na kama mna ushahidi nenda polive upeleke kwa yule unamtetea.
Tunaweza kusema ni sawa lakini hii ni funika kombe

Back
Top Bottom