Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,738
- 284,689
Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema