Freeman Mbowe ahojiwa na BBC, asema alipoambiwa anashtakiwa kwa ugaidi alidhani ni Utani

Mbowe amehojiwa na BBC na kusema aliposhtakiwa kwa ugaidi alidhani ni utani lakini hakushangaa kutokana na upinzani unavyonyanyaswa nchini Tanzania.

Mahojiano yanaendelea.
Habari yako inaweza kuwa credible na ya kuaminika zaidi unapoambatanisha na video clip au ushahidi mwingine wowote

Lakini kwa namna hii, nyie vijana wa UVCCM mna tabia mbaya ya kubadili kwa kupotosha asili ya jambo lenyewe kwa manufaa yenu ya kisiasa
 
Mbowe amehojiwa na BBC na kusema aliposhtakiwa kwa ugaidi alidhani ni utani lakini hakushangaa kutokana na upinzani unavyonyanyaswa nchini Tanzania.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mahojiano yanaendelea.
Huyo Kikeke, nimemshangaa kukomalia kuwa Mbowe aliachiwa na Mahakama kwenye kesi yake ya ugaidi.

Anafafanuliwa kuwa, hakuachiliwa na mahakama, sekunde kumi anarudi tena na hoja ya kaachiwa na mahakama.

Sijui alikuwa hafuatilii hiyo kesi na kujua kuwa Mahakama iliamua kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu!
 
Mbowe amehojiwa na BBC na kusema aliposhtakiwa kwa ugaidi alidhani ni utani lakini hakushangaa kutokana na upinzani unavyonyanyaswa nchini Tanzania.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mahojiano yanaendelea.
Mimi nimwite mkuu Erythrocyte, nimhimize upewe kadi ya chama cha Mbowe haraka iwezekanavyo, kama bado hujapewa, maanake siku hizi unachangamkia mambo ya CHADEMA kuwashinda hata manazi wa chama hicho.

Sasa usije ukabadili upepo, maanake wewe hutabiriki!
 
Mbowe amehojiwa na BBC na kusema aliposhtakiwa kwa ugaidi alidhani ni utani lakini hakushangaa kutokana na upinzani unavyonyanyaswa nchini Tanzania.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mahojiano yanaendelea.
Kiongozi wa malaika alibambikizia binadamu kesi mbaya za kumfanya mtu aozee jela maisha yake yote.

WITO WANGU KWENU MALAIKA:-
Msishangae mkipewa kesi ya kufoji vyeti vya kuwa malaika, wakati Mwenyezi Mungu aliwaumbeni hivyo.
 
Mbowe ashukuru sana COVID-19, maanake wakati huu asingekuwa anasema "utani" tena.

Tena ajue, kwamba ilibidi itumike njia hiyo kumwondoa njiani, kwani ile nyingine iliyotaka kumwondoa Lissu ikashindikana ingeweza kuelekezwa kwake kama si kuepuka matumizi ya njia hiyo hiyo haraka namna hiyo.
Mijitu ya CCM mnawaza kuua TU. As if nyie peke yenu ndio wenye haki ya kuishi duniani.

Haya tuuweni sote tusio unga mkono Chama chenu ili mbaki peke yenu roho zenu na hamu zenu na shauku zenu zifurahi.

Mawaza na mitazamo na fikra za Wana CCM wengi zinathibitisha kwamba kweli wao ni Chama Cha Mazezeta
 
Mimi nimwite mkuu Erythrocyte, nimhimize upewe kadi ya chama cha Mbowe haraka iwezekanavyo, kama bado hujapewa, maanake siku hizi unachangamkia mambo ya CHADEMA kuwashinda hata manazi wa chama hicho.

Sasa usije ukabadili upepo, maanake wewe hutabiriki!
Mwenzako kawa enlightened, kaijua kweli, nayo kweli imemweka huru.
Ukiwa huru utaongea ukweli na utatenda haki .

Pole zako wewe uliye kwenye kongwa la utumwa, unatamani kuua kwa ajili ya kofia ya kijani na t shirt na wali wa hongo kipindi cha kampeni
 
Back
Top Bottom