Naelewa nchi yetu imejikita katika hii kauli mbiu ya viwanda. Halikuonekana wazi katika hawamu ya nne lakini sasa linaanza kutia shaka, hivi kujenga viwanda vyote eneo la ukanda wa pwani wa nchi...
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha...
Wito waziri ummy mwalimu aje aseme ,ajitokeze Sasa ukimya unawawekwa wazazi njia panda !
Wakuu ni takriban mwezi sasa idadi ya watoto wanaolazwa kwenye hospitali mbalimbali nchini inatisha na...
RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameeleza namna alivyopata ugumu kupokea taarifa kuhusu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, lakini akasema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa...
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"
Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya...
Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT.
Zitto Kabwe hivi...
Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu.
Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Kutoka Mlandizi, Chalinze - Mboga mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji na...
Dar es Salaam. The National Identification Authority (Nida) says it is working on a national identity smartcard that would do away with the need to have multiple IDs.
Currently, Tanzanians have...
Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko?
Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali...
Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.
Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities.
Tulikuwa tunaishi kila...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa...
1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla...
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa...
Maji yakimwagika hayazoleki!
Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini!
Kuendelea kutumia jeshi la polisi...
Kama wewe ni kada wa ccm na mzalendo wa kweli basi pitia uzi huu wa kizalendo.
Ni uchaguzi wa 2005 tu na kurudi nyuma ndio ccm ilishinda uchaguzi kwa kukubalika na wananchi tena kwa kupata kura...
Anaandika, Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka...
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limekuja na kauli mbiu kuelekea Mei Mosi 2022 ambapo humo nani wamegusia kuhusu mishahara na maslahi bora ya wafanyakazi.
Tamko hilo...
Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.