Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,992
Huyu mzee wa Msoga kwenye Elimu alitisha Sana,
Fikilia SSH amejenga madarasa elfu15 kwa pesa ya mkopo kutoka IMF, kwa iyo idadi ni madarasa kidogo Sana kwa nchi Kama Tanzania. Serikali ya JPM iliferi vibaya Sana kwenye Elimu, ata kuajiri walimu alishindwa, aliajiri walimu wachache mno, Tena kwa mbwembwe za press conference.
SSH, yeye amekopa kujenga madarasa, wanafunzi wameanza shule this week lakini walimu hasa wa Sayansi hakuna. Serikali imeshindwa kuajiri walimu wa kufundisha watoto wetu. Shule hazina walimu wa hesabu, physics, chemistry na Biology.
Lakini JK alijenga Madarasa kila kata nchi nzima, hakukopa kujenga madarasa, aliajiri walimu maelfu kwa maelfu.mfano wa idadi ya walimu walioajiri kipindi Cha JK.
2012/2013- walimu 32,764
2013/2014- walimu 40,327
2014/2015- walimu 46,103
Lakini chini ya Magufuli
2015-2016-hakuajiri sababu ya uhakiki
2016-2017-walimu 3184
2017-2018-walimu 4854
2018-2019-walimu 4327
2018-2020-walimu 8543
Chini ya Samia
2021-walimu 6468
JK alipata wapi hela za kuwekeza kwenye Elimu, na JPM na SSH wameshindwa nini, ufaulu wa juzi 64% wamepata division four na zero kwa kidato Cha nne.
Swali, JK alipata wapi pesa kuwekeza kwenye Elimu?