Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1642493987762.png

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)

Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini

Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Austria.

1642490008685.png
 
Jamaa kaenda Vienna patamu hapa Baba
Nilishakaa hiyo kiwanja siku 9 nikarudi Ujerumani kwa wabaguzi
Wananusaga ngozi ya kibongo wanadhani eti labda itakuwa na harufu
Mwisho wanagundua wao ndio Wana harufu
Nawaambia tukae bila kuoga siku tatu Mimi black hutasikia chochote ila wewe utanuka balaa
Tukafanya Hilo zoezi jamaa kesho yake kiatu inatema balaa na kale kaharufu kao
Mimi Niko fresh kabisa
Wakasema African real human being.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)

Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021
Umeanza Desemba 5, 2021..?!

Samia Hassan amemteua Mcha Hassan
Mzazibara sio au mzazibari😄

Hii nchi MaCCM mlipoifikisha siko kabisa kabisa.
 
Ila huyo Mushy, yaani kutoka Katibu Tawala tena Masaidizi mpaka Balozi Austria ..... ameula kweli. Hata kama ni mtu wa kitengo, watu wanatakiwa kupanda juu step by step .... Hii ya kuwatoa from nowhere na kurusha juu ndiyo matokeo yake tunapata viongozi wa design za akina Makonda na Sabaya.
Samia anapuyanga kama Magufuli.
Nchi yetu bado itapitia uharibifu wa MaCCM kwa miaka mingi.
Katiba mpya ni muhimu.
 
Umeanza Desemba 5, 2021..?!

Samia Hassan amemteua Mcha Hassan
Mzazibara sio au mzazibari😄

Hii nchi MaCCM mliooifikisha siko kabisa kabisa.
Maza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.

Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.

Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.

Hapo anamuandaa aje awe CG baada ya kidata kustaafu.

Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.
 
Ila huyo Mushy, yaani kutoka Katibu Tawala tena Masaidizi mpaka Balozi Austria ..... ameula kweli. Hata kama ni mtu wa kitengo, watu wanatakiwa kupanda juu step by step .... Hii ya kuwatoa from nowhere na kurusha juu ndiyo matokeo yake tunapata viongozi wa design za akina Makonda na Sabaya.
Haya mawazo yako ni ya kizamani.

Kwa mfumo wa serikalini ukisema upande step by step itakuchukua miaka zaidi ya 30 kufika level za juu.

Kuwainua watu kutoka chini kutokana na utendaji kazi wao ndio jambo la msingi.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)

Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini

Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Austria

View attachment 2085964
Hata kama huyo, katibu tawala alikuwa kitengo.. mbona karushwa sana?
toka msaidizi wa RAS hadi Balozi?
 
Back
Top Bottom