Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma?

SUTAGI-

JF-Expert Member
Nov 9, 2018
269
511
Katika sheria za utumishi wa umma tunaambiwa kuwa Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini haruhusiwi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa muda wa kutumikia majukumu ya kiutumishi.

Tarehe 1.4.2022 siku ya ijumaa kwa nyakati flani itakuwa ni siku ya kazi kwa watumishi wa umma, hata hivyo ni siku hiyo hiyo ambayo Rais wetu ataongoza mkutano mkuu wa CCM.

JE, KWA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA YUPO SAHIHI?
 
Katika sheria za utumishi wa umma tunaambiwa kuwa Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini haruhusiwi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa muda wa kutumikia majukumu ya kiutumish....
Hata mbunge sio mtumishi wa umma.

Hawalazimishwi kuwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii,ndio maana baada ya miaka mitano wanasepa na kiinua migongo chao
 
Katika sheria za utumishi wa umma tunaambiwa kuwa Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini haruhusiwi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa muda wa kutumikia majukumu ya kiutumishi...

Ndiyo maana katiba mpya ni muhimu kuweka mengi sawa
 
Back
Top Bottom