BoT: Wananchi wa Ruvuma wanawazidi kipato Wananchi wa Arusha, Wakazi wa Kagera ndo Masikini wa Kutupwa

Kipimo cha GDP kinaacha vitu vingi nje ndo maana sikikubali hata. Ukienda KAGERA utakuta familia nyingi zinakula vizuri, wanavaa vizuri, watoto wanasoma vizuri na passmark zao siko juu sana, wana Furaha ya kiwango cha juu, wamejenga vizuri, zaidi ya 25% ya professors Tanzania wanatoka Kagera. So kwangu mimi mkoa wa KAGERA siyo masikini kabisa. Wahaya wengi wanafanya business za consultancy na online so pengine Siyo rahisi kuwa picked na GDP
 
Uko sahihi tena mi nilienda wilaya moja huko kagera kidogo nizamie huko,maisha matamu hewa safi,kilimo,mifugo,totoz 😀
 
Sahihi sana kiongozi, 98% ya mkoa wa Kagera kuna umeme, nyumba standard hadi vijijini. Halafu mtu anayekwambia mkoa wa Ruvuma unazidi kipato mkoa wa Arusha na Kilimanjaro, chochote atakachoendelea kukwambia usimsikilize wala kumwamini sanasana mpeleke hospitali umpime akili. Kwamba Dodoma kwa wagogo Wana maisha mazuri kuliko wahaya!?,Songea wana mzunguko wa pesa kuliko Moshi na Arusha!?.., mleta mada naye ni MPUMBAVU tu. Sio unaamini kila unachosikia, mengine ni ya kutumia akili binafsi.
 
Back
Top Bottom