Jambo Member's JamiiForums.
Jambo Moderators JamiiForums.
Niende kwenye Mada rasmi.
Sasa maana rasmi ya dhana ya kustaafu utumushi wa Umma imepotea au inawezekana imeachwa kwa maksudi kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika...
Rais Samia amemtaka Katibu mkuu kiongozi kuandaa utaratibu wa kuifumua MSD na kuisuka upya kama walivyofanya kwenye Shirika la Umeme yaani Tanesco.
Rais amesema uendeshaji wa MSD kwa sasa hauna...
Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya...
Moderators!
JamiiForums!
members!
Jamiiforums!
Hizi ni kauli au Maswali tata kutoka kwa kada mkongwe wa CCM.
Mzee/Luteni mstaafu Yusuph Makamba.
Baba mzazi wa January Makamba ambaye ni waziri...
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya...
1. 2015-2020 CCM/ Magufuli alikuwa inapendwa?
Jibu hapana. Ila watu waliogopa kupinga sababu za usalama wao binafsi hasa kutekwa, kuuwawa, kupigwa risasi na madhira kibao.
Tofauti kipindi Mzee...
Akizungumza kwenye kumbukizi la Mwalimu Nyerere KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Tanzania ina Mijadala duni sana ndio sababu tumekwama kwenye kila jambo na kubaki tunazunguka pale pale...
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.
Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya...
Ni katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma.
Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe.
Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya...
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000...
Kimsingi ni wiki ya pili sasa Rais Samia kupitia hotuba yake amekuwa akisisitiza kuwa bidhaa lazima zitapanda na nauli zitapanda kutokana na vita ya Urusi!
Ukweli ni kwamba vita ya Urusi na...
Wazalendo Wote Nchini
Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.
Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu...
Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza.
1. Nani mshauri wa...
Wanabodi,
This is C&P kama nilivyopokea.
Nape Nnauye Ashambulia Waandishi wa Habari.
Wakati ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana Ikiendelea Mkoani Arusha na ikionekana kuwa na...
Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye...
Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu...
Si wajibu wa Serikali kusimamia chama Cha Mapinduzi, Ila Chama Cha Mapinduzu kina wajibu wa kuisimamia Serikali.
Nakubaliana na hoja hii na ndio ukweli ulivyo.
Kama hukubaliani na hoja hii...
Ziwa Victoria, eneo la katikati ya Musoma na Kinesi, hapa ndipo unapopita mkondo wa Mto Mara, unaoingiza maji yake Ziwa Victoria. Ukiwa eneo hilo, unaweza kuona maji yalivyobadilika rangi na...
Chama kinashindwa kusema wazi kuwa ndani ya miaka 6 iliyopita,kulikuwa hakuna demokrasia ndani ya chama,na haki ilipotea kabisa.
Kusema ukweli ilikuwa kosa kumkosoa mwenyekiti,na mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.