Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu. Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko. Nafasi imechukuliwa na Kinana Membe...
14 Reactions
440 Replies
38K Views
MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu...
1 Reactions
7 Replies
956 Views
Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema Waraka uliotolewa na Makatibu Wakuu wastaafu Mzee Kinana na Mzee Makamba ni “Jambo la Kitoto”, sababu chama kina njia zake za kushughulikia migogoro...
19 Reactions
114 Replies
15K Views
Je, wajua kuwa kifo kimeshindwa kuwatenganisha watanzania na Magufuli ? Je, wajua kuwa umagufuli ni maisha kwa wanyonge wa taifa hili? Je, wajua nguvu ya moyo ndio huamua nani awe rais kwa taifa...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nasema tena tutaelewana kwa wale chawa wa mzee Meko. ==== Viongozi wa Dini ya Kiislam ishirini waliokamatwa wakikabiliwa na mashtaka ya kigaidi katika mkoa wa Arusha tangu mwaka 2014 wameachiliwa...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe Chama cha ACT-Wazalendo kimesema ili nchi iweze kujitegemea kiuchumi ni lazima benki kubwa zimilikiwe na Watanzania tofauti na ilivyo hivi sasa kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mnyonge mnyongeni lkn haki zake mpeni jamani. Mzee wetu Jakaya Kikwete aliyatabiri haya yanayo tokea leo ndani ya chama cha Mapinduzi. Chama kilivamiwa na wahamiaji haramu na sasa kimeanza...
28 Reactions
217 Replies
14K Views
Asalam Aleykhum , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimewatakia heri ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan Waislam wote , na kwamba kinamuomba mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika funga yao...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
CCM acheni hadaa za kisiasa. Ili mtu apigiwe kura ni lazima wawe washindani zaidi ya mmoja. wanaogombea nafasi moja. Hivyo kunakuwa na ushindani unaopelekea kuhitaji kura zipigwe ili apatikane...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini...
8 Reactions
103 Replies
10K Views
Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi. Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa...
3 Reactions
6 Replies
770 Views
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria: Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing Mtu anaweza vipi tua dege kwa...
12 Reactions
69 Replies
7K Views
Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima...
5 Reactions
129 Replies
10K Views
Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao? Kwani nini wafurahia na kukenua meno? Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Moja kati ya majukumu ambayo nashauri kinana ajiwekee, ni kutembelea vyuo, taasisi za umma na binafsi ku-recruit makada wa ccm. Kwa mujibu wa Mangula, mzee Nyerere alitafuta vijana 75, akiwemo...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kabla ya uchaguzi wa 2015 CCM ilikuwa na sababu nyingi (siozote) za kuweza kutekeleza maazimio ya vikao vyake hasa hasa kwenye issue ya kujivua gamba. Sababu kubwa ya CCM kusita kujivua gamba...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wanajf na wengine ambao labda ni wageni ni kwamba , huyu Profesa George Wajakoya ndiye Mwanasheria aliyepinga ombi la serikali ya Kidikteta ya Tanzania iliyoongozwa na Dr Magufuli aliyekuwa...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais Samia amesema hakuendelea na style ya mchaka mchaka kwa sababu anaamini viongozi ni watu wazima wanaojitambua hivyo kama wakitenda ndivyo sivyo wanakuwa wanafanya makusudi na kwa kudhamiria...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom