CCM Hamuaminiani? Wajumbe kura kupigwa mkoa kwa mkoa

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Ni katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma.

Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe.

Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya wajumbe kamili.

Ina maana kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama. Wale wenyeviti ambao mikoa yao itaonekana kupiga kura hafifu kwa makamu mwenyekiti.

Litawakuta la kuwakuta ikiwemo kupigwa chini.

Kwanini kura mnalazimisha kupigwa kwa orodha badala ya kupigwa kwa mseto tu.

Kwa kufuata idadi ya wajumbe wote waliomo kwenye kikao?

Mtandao na mbinu za kuwadhibiti wapinzani wenu ndani ya chama.
 
Ni katika uchaguzi wa makamu mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma.

Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe.

Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya wajumbe kamili.

Ina maana kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama.
Wale wenyeviti ambao mikoa yao itaonekana kupiga kura hafifu kwa makamu mwenyekiti.

Litawakuta la kuwakuta ikiwemo kupigwa chini.

Kwa nini kura mnalazimisha kupigwa kwa orodha badala ya kupigwa kwa mseto tu.

Kwa kufuata idadi ya wajumbe wote waliomo kwenye kikao?

Mtandao na mbinu za kuwadhibiti wapinzani wenu ndani ya chama.
Huo uchaguzi hauko huru yaani ukipiga kura ya hapana utakipata ulichokuwa unakitafuta
 
Kuna Chama kilikutana Mlimani city walipiga kura kwa kunyoosha vidole juu mkutanoni wakato Mkutano ule ulikuwa pia na waalikwa wengi tu ambao sio wajumbe
 
"Sumu haionjwi kwa ulimi" hii ni kauli ya mwenyekiti aliepanga uchaguzi wa mwenyekiti ili aendelee kuwa mwenyekiti. RIP Chacha Wangwe na pole Zito kwa yaliowakuta baada ya kujaribu kutaka kurudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama. Mlitaka utaratibu ulioachwa na wenyeviti waliopita wa kutawala vipindi viwili vya miaka mitano mitano ufuatwe, sasa matokeo yake yakawakuta yaliowakuta.

images (27).jpeg
 
View attachment 2171540

Bean 1.jpg
 
Inasikitisha chama kongwe na tawala kinapokosolewa kinatafuta cha kujitetea kwa kupitia mapungufu ya chama ambacho wenyewe wanakiita SACCOS ...

Yani Simba ikosolewe afu ijitetee kwa kulinganisha na kilichofanywa na Azam...

Dah
 
Ni katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma.

Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe.

Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya wajumbe kamili.

Ina maana kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama. Wale wenyeviti ambao mikoa yao itaonekana kupiga kura hafifu kwa makamu mwenyekiti.

Litawakuta la kuwakuta ikiwemo kupigwa chini.

Kwanini kura mnalazimisha kupigwa kwa orodha badala ya kupigwa kwa mseto tu.

Kwa kufuata idadi ya wajumbe wote waliomo kwenye kikao?

Mtandao na mbinu za kuwadhibiti wapinzani wenu ndani ya chama.
Kama ni hivyo mama ana intelijensia nzuri sana isioumiza wengine. Awamu iliopita ilitolewa fomu 1 tu halafu membe akanyea debe.
 
"Sumu haionjwi kwa ulimi" hii ni kauli ya mwenyekiti aliepanga uchaguzi wa mwenyekiti ili aendelee kuwa mwenyekiti. RIP Chacha Wangwe na pole Zito kwa yaliowakuta baada ya kujaribu kutaka kurudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama. Mlitaka utaratibu ulioachwa na wenyeviti waliopita wa kutawala vipindi viwili vya miaka mitano mitano ufuatwe, sasa matokeo yake yakawakuta yaliowakuta.

View attachment 2171540
R.i.o kolimba,r.i.p malima,r.i.p mgimwa,r.i.p balali,r.i.p sumari.niendelee????r.i.p Dr juma(Pemba) etc etc etc etc etc
 
Nimepishana na chawa wenzako usiku huu wanawahi kuchukua chao pale ufipa. Vipi utaunganisha au ww utaenda kesho?

images (32).jpeg
 
Mimi naona ni kama haya mambo hayatuhusu hvi..

Tujue ya Kuzingatia ndugu zangu ili tuachane na yasiyotuhusu.
 
Kuna Chama kilikutana Mlimani city walipiga kura kwa kunyoosha vidole juu mkutanoni wakato Mkutano ule ulikuwa pia na waalikwa wengi tu ambao sio wajumbe
Na ule wa kumpitisha mamvi kuwa mgombea Urais ilikuwa hivyo hivyo.
 
Kura za maruhani zinaendelea....Sio rahisi kuaminiana chama kimeshikwa na familia tatu au nne hivi. Msoga, makamba, mnauye, kinana
 
Kuna Chama cha 'kidemokrasia' Mwanachama anaweza kumuamuru mwanachama mwenzake tena Mchungaji wa kanisa afute comment kisa tu anatoka kabila la Mwenyekiti wa Chama

Back
Top Bottom