Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu...
10 Reactions
96 Replies
11K Views
Ninafikiri Ndugu Bashiri Ally kama mtendaji mkuu mpya wa chama cha Mapinduzi, anaufahamu mkubwa juu ya chama cha siasa na dhana ya msingi ya chama, lakini bahati mbaya hana uzoefu wa siasa chafu...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani...
26 Reactions
104 Replies
7K Views
Zipo Taarifa kwamba Mh. Rais Samia na Mkuu wa Majeshi Mabeyo ni miongoni mwa watu waliojishindia Tuzo za Heshima za Muziki, wengine waliopata tuzo hizo za Heshima ni Bi Kidude na Diamond Platnum...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanabodi, Tangu baada ya Nyerere, na mtindo ule wa vitendo bila kuchelewa na utoaji wa maamuzi magumu, Watanzania walimisi sana maamuzi ya aina hii kwenye utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete...
26 Reactions
128 Replies
29K Views
Ni suala la muda tu kabla akina Bashiru, Happi, Makonda, Musiba, Lusinde n.k. hawajanuka kama walivyonuka wenzao kina Nape, Makamba na Kinana. Ikumbukwe, kipindi kile kina Nape, Kinana na...
12 Reactions
24 Replies
4K Views
4-1-2022 kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi...
40 Reactions
202 Replies
18K Views
MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama zilivyo jamii nyingine za binadamu kuwa na maneno ya wahenga,wazungu pia hawako nyuma.wanaupiga mwingi kwa kuwa na methali zenye kufikilisha.Baadhi ya methali hizo ni; 1. It takes a time to...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani. Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi...
59 Reactions
293 Replies
56K Views
Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura. Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
RAIS KIKWETE, KARIBU KONDOA UJIONEE MADHAIFU YA WATENEDAJI WAKO ULIOWAAMINI Mheshimiwa Rais, karibu Wilayani kwetu KONDOA. Kutokana na Urasimu mkubwa wa kukufikia wewe ili kuleta maoni na...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Sikufundishi kazi ila kinachokutafuna ni kile kilichopandwa huko nyuma!, simlaumu mtu ila nitalaumu kama atashindwa kuwa muelewa!. Nafikiri utakumbuka nyanda za juu walivyokujazia wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo. Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete...
14 Reactions
215 Replies
31K Views
Humprey Polepole tambua Rais anategemea taarifa sahihi toka kwenu lakini wewe unamdaganya na kumsababishia kampeni kuwa ngumu kwake sana. Mimi ni mwana CCM na sihami CCM, Ni dhahiri Humphrey...
16 Reactions
55 Replies
7K Views
IKO WAPI TANZANIA YANGU; IKO WAPI CCM YANGU: WAKO WAPI WAZEE WANGU WENYE DHAMANA YA CHAMA NA NCHI YANGU. Ndugu Watanzania na wanajamvi, nawaombea kila la kheri wakati huu mgumu. Mola atatupa...
13 Reactions
94 Replies
9K Views
Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti. Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza...
13 Reactions
51 Replies
6K Views
Ndugu Bashiru; Wewe ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.Wewe ni Muislamu uliyelelewa kiislamu katika familia yenye maadili ya kiislamu.Unalo jukumu kama Katibu Mkuu kuunganisha na si...
87 Reactions
221 Replies
20K Views
Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Back
Top Bottom