Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,696
- 40,963
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii.
Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki.
Hapa bila kupepesa macho tukubaliane kwamba kuna manufaa flani yanapatikana katika hiki kinachoitwa kufanya "maintenance" muda utasema.
Kukosekana nako kwa maji kumekuwa katika viwango vya kukera wananchi.
Bei za bidhaa zinapanda kiholela na Serikali ipo kimya kabisa.
Mambo haya yote Rais wetu yupo kimya , hayakemei wala kutoa maagizo kuyamaliza.
Sasa kama Samia anataka kujitenga na doa lililopo katika awamu hii achukue hatua.
Otherwise historia itamhukumu kwa kuwa sehemu ya haya mambo.