Kama Tuzo ni za wanamuziki, Wanasiasa na Wanajeshi wanapewa kwa lipi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,586
217,976
Zipo Taarifa kwamba Mh. Rais Samia na Mkuu wa Majeshi Mabeyo ni miongoni mwa watu waliojishindia Tuzo za Heshima za Muziki, wengine waliopata tuzo hizo za Heshima ni Bi Kidude na Diamond Platnum, kila la heri kwao kwa kujinyakulia tuzo hizo.

Bali swali langu ni hili, Mabeyo na Samia wamepewaje tuzo za masuala ya usanii ikiwa hawajawahi kutoa singo, kuigiza wala kushiriki video ya muziki?
 
Bali swali langu ni hili , Mabeyo na Samia wamepewaje tuzo za masuala ya usanii ikiwa hawajawahi kutoa singo , kuigiza wala kushiriki video ya muziki ?
Kuhusu Samia sijui, lakini kuhusu Mabeyo ninajua anauelewa mzuri wa muziki ule wa kijeshi, na nimewahi kuona hafla moja ya kijeshi alienda kuongoza muziki wa brass band ya jeshi na alifanya vizuri sana.

Samia inawezekana kapewa kwa heshima kama udr wa Kasheku Msukuma.
 
Back
Top Bottom