Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 686
Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike