Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma mabango yenye ujumbe mbali mbali wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Sokoine,kulia kwake ni Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Munde...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Tutambue juhudi zote na mipango tukiyojiwekea kusongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Maboresho sector kilimo na ufugaji, miundombinu barabara, umeme, huduma za afya, viwanja michezo...
0 Reactions
14 Replies
972 Views
Ndugu zangu! Salibonani! Tuliambiwa Kuna mafuriko ya wawekezaji kuingia Nchini Mara baada ya Nchi yetu kufunguliwa! Hakika wananchi tunaolipenda Taifa letu tulifarijika. Kwakweli takwimu...
1 Reactions
1 Replies
369 Views
Habari wadau, Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya. Unaenda mwezi wa pili...
11 Reactions
150 Replies
13K Views
Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi...
19 Reactions
71 Replies
5K Views
Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Elite class ya Tanzania ni watu wasiozidi elfu hamsini na ndio wafaidika wakuu wa keki ya taifa Wameshika nyanja zote za uchumi na kitovu chake kikuu ni kamati kuu ya chama cha mapinduzi. Wote...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Kikao cha dharula cha madiwani wa halimashauri ya Buchosa kimekubali kumegwa na kuhamia mkoa wa Geita ili kutoa fursa kwa mkoa mpya wa Chato kuanzishwa haraka iwezekanavyo. === Madiwani wa...
8 Reactions
138 Replies
15K Views
"Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea...
8 Reactions
70 Replies
5K Views
Amani iwe kwenu, Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za...
58 Reactions
142 Replies
8K Views
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA SHILINGI MILIONI KUMI MFUKO WA YATIMA NA WAJANE MKOA WA DODOMA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua serikali yangu ni sikivu. Leo nimekuja na bonge la ushauri. Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme. Kwani tunayo gesi nyingi sana kule...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika...
1 Reactions
7 Replies
740 Views
Na Mwl Udadis Ipo haja kwa vyama mbalimbali vya wafanyakazi kutoa kauli ya kumpongeza Rais Samia kwa hatua alizozichukua ndani ya muda mfupi katika sekta ya utumishi wa umma, Rais ameonyesha...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
There is no doubt that President John Magufuli has became the african most influential leader in our time. It is the same truth that most of the citizens especially those who were marginalised...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi...
60 Reactions
100 Replies
15K Views
Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani? Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
20 Reactions
97 Replies
11K Views
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na...
17 Reactions
83 Replies
5K Views
Iko haja kama taifa kuwa na fikra mpya za mambo ya kisiasa ,kijamii na kiuchumi. Wanasiasa ambao mara nyingi ndio hubeba ajenda zinazoongelewa sana katika jamii wana jukumu la kubadilika kifikra...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom