Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya Sh102 bilioni kwa mwaka...
Mbunge wa Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameibua kashfa mpya ya nguzo za umeme kununuliwa nje ya nchi wakati katika Jimbo lake la Mafinga kuna mwekezaji aliyekweza kwenye...
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa:
Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani?
Hekima ipi mpewe na nani nyie?
Au ndiyo la...
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.
Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa...
SIASA ZA KUNGURU ZINAKARAHISHA MNO!
Anaandika, Robert Heriel.
Inaelezwa kwamba kiumbe wa pili kujiingiza kwenye Siasa baada ya Nyoka alikuwa Kunguru. Na inatajwa kuwa ili uwe mbobevu katika...
Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea.
Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua...
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi.
CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
Nasema kwa sababu
1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa. Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma Gang.
2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.
Hivyo, wanaona CHADEMA...
Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri.
Amesema mwanasiasa...
Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa.
Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana...
Nipo hapa naangalia TV live mapokezi ya makamu mwenyekiti ccm bara, Ndugu Kinana...
kilichonishangaza ni kuwa hakuna hata mjumbe hata mmoja aliyevaa barakoa...hata meza kuu hawajavaa...Sasa ndio...
Matukio Picha Mbalimbali
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana Mkoa wa Dar Es Salaam muda huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee .
#CcmImara
#KaziIendelee
Mhe. Ahmed Mabukhut Shabiby, Mbunge wa Gairo, juzi bungeni uliongea kwa uchungu saana wakati unachangia, lengo la mchango wako ilikuwa ni kuvunjwa kwa utaratibu wa kuagizwa kwa mafuta kwa pamoja...
Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri!
Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri...
Umejitahidi kununua cheti cha "Udoctor" wa Heshima.
Lakini unafanya kazi ya Dakitari wa "Njaa"
Unajitahidi kurudi kwenye kundi la Walamba Asali lakini umesahau kwamba kitendo chako cha kumkacha...
Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni...
Na Emmanuel J. Shilatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya...
MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!?
Nimemtaja makusudi mwanzilishi wa CCM,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuvunjilia mbali hizi propoganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.