Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema mpaka sasa Tanzania haina Uhaba wa Mafuta, hivyo hakuna Sababu ya Watanzania kuwa na Taharuki ya Ukosefu wa Nishati hiyo Muhimu. Kauli hiyo imetolewa...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, CCM Abdulahman Kinana amewataka wanachama wa chama hicho kubadilika kuacha tabia ya kutukuza Viongozi Wakuu kwa nia ya kusaka nafasi za uongozi. Kinana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini. Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu. mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema...
3 Reactions
196 Replies
42K Views
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe. Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo...
16 Reactions
115 Replies
6K Views
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee...
9 Reactions
110 Replies
8K Views
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama. Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila. Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinans amesema imezuka tabia kwa watu wanachaguliwa au kuteuliwa katika nafasi fulani kujiona wao ni Watukufu, tabia hii iachwe mara moja siyo nzuri. Kinana amesema...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo Rais wa JMT ametua kwa mara ya kwanza na ndege kubwa katika uwanja wa ndege Chato,hii ni kusema sasa ni rasmi Chato imefunguliwa kwa kutua ndege yenye ukubwa huu na inatoa picha kuwa uwanja...
72 Reactions
283 Replies
37K Views
Katika mawazo ya mzee mwenye Busara nyingi kutokana na mvi kama wasemavyo wahenga mvi zina busara anajiuliza kwanini alienda kumpigia kampeni bwana Uhuru Kenyatta Lakini katika kupokezana...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Mkuu wa nchi yangu na mwenyekiti wa chama dume africa nzima, kwanza naupongeza uongozi wako uliotukuka, Mheshimiwa kupitia maoni ya watu mbali mbali kutoka kwa watu kwanza wanakukubali kwamba ni...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
MATUKIO KATIKA PICHA Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Rais Samia jana alisema hapo katikati tulitetereka kidogo tukaanza kubaguana kwa itikadi, ukanda na ukabila, hakutaja ni kipindi cha Magufuli, lakini wafuasi wengi wa Magufuli wakasema anamlenga...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii ambao najua mtakuwa katika majukumu mengi kulisukuma gurudum la maendeleo, Kwa miez kadhaa nimekuwa kimya kuhusu suala la mvua ya Thailand, ambayo mwaka 2007 waziri mkuu wa...
9 Reactions
71 Replies
8K Views
Julius Mtatiro kijana asiye na uzoefu wowote katika masuala ya Serikali juzi ameanza kazi za chama chake kwa kutaka Serikali ifanye anavyotaka yeye. Katika taarifa yake kwa umma, ikiwa ya kwanza...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye nilikuwa nafanya kazi benki kama afisa mauzo , mwaka 2013-2014 ,Kipindi hicho kulikuwa na ujenzi wa mradi fulani mkubwa tu kuna mkandarasi kutoka China jina nimeliifadhi,Huyo...
28 Reactions
89 Replies
11K Views
Nadhan kila mtu analitambua hili kwamba wapinzani ucheza vemaaa na siasa wanaziweza katikati ya kipindi cha mtawala yeyote, tatizo sasa wanakuja kuvuruga mwishoni kabisa Kuna masuala matatu...
13 Reactions
93 Replies
8K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuchangia Chadema, sasa imeanza kugombewa kama ilivyogombewa Sukari enzi za RTC, taarifa kutoka Tandika Mwembeyanga (ambako mimi ni mkazi...
9 Reactions
37 Replies
45K Views
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za...
7 Reactions
123 Replies
7K Views
Back
Top Bottom