Karibu Zitto Kanda ya Ziwa

Karibu Zitto Kanda ya Ziwa

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,698
Nasema kwa sababu

1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa. Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma Gang.

2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.

Hivyo, wanaona CHADEMA /Mbowe wakichukua dola watawatenga Kanda ya Ziwa.

CCM na CHADEMA hawana chao tena huku.

Nafasi ya ACT- Wazalendo sasa
Ahsante.

JamiiForums1531149761.jpg
 
Acha uongo Mwanza hakuna ACT.pia ACT haina wanachama bali inawafuasi wa Maalimu Sharif siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
Labda Kama Kuna Kanda ya ziwa kusini,
Lakini Mwanza,Mara,Tabora ,Shinyanga Kigoma,na Kagera haipo kabisa.
 
Nasema kwa sababu

1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa . Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma gangi

2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.
Hivyo wanaona CHADEMA /Mbowe wakichukua dola watawatenga kanda ya ziwa.

CCM NA CHADEMA Hawana chao tena huku.

Nafasi ya ACT- Wazalendo sasa
Ahsante.
View attachment 2181695
Vichaa nao wana haki zao kama wewe
 
Acha uongo Mwanza hakuna ACT.pia ACT haina wanachama bali inawafuasi wa Maalimu Sharif siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
Labda Kama Kuna Kanda ya ziwa kusini,
Lakini Mwanza,Mara,Tabora ,Shinyanga Kigoma,na Kagera haipo kabisa.
Mwambia huyo Mrundi
 
kwa sasa watu hawamuamini mtu yeyote màgufool.alifanikiwa kuwafanya mazwazwa
 
Kanda ya ziwa hatutaki madalali..huyo zito ni dalali kawauza wazenji..akomee huko huko zenji..kanda ya ziwa hana chake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni ukweli kwamba upinzani wanajisahau sana, muda wa kujiimarisha ni huu lakini wamekubali kutiwa mfukoni.

Muda ukifika CCM wana cha kuonesha kama wasemavyo wametekeleza ABC kwenye ilani yao.
 
Back
Top Bottom