Mbunge wa CCM, Cosata Chumi acharuka bungeni, aibua kashfa ya nguzo za umeme

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
Mbunge wa Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameibua kashfa mpya ya nguzo za umeme kununuliwa nje ya nchi wakati katika Jimbo lake la Mafinga kuna mwekezaji aliyekweza kwenye utengenezaji wa nguzo kwa kutumia mitambo aliyonayo na kisha nguzo hizo kusafirishwa kwenda nchini kwao na kisha kununuliwa na Serikali na kurudishwa nchini.

Msikilize hapa akitiririka.
 
View attachment 2181933
MZEE Utaambiwa UJIUZULU kama Mkubwa wenu mle mjengoni
 
..kiwanda cha nguzo anachokitetea Mh Mbunge ni cha genge la ulaji la awamu ya 5.

..mwenye kiwanda akajisalimishe kwa genge la ulaji la awamu ya 6 ili biashara yake iendelee.
Tanwat wapo muda mrefu sana.
Ila moja ya Jambo la ajabu sana ni Tanesco kununua nguzo afrika kusini.
Tanwat wanauza nguzo Kenya na afrika kusini. Huko afrika kusini ndio sisi tunaenda kununua. Nchi ya ajabu hii
 
Mbunge wa Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameibua kashfa mpya ya nguzo za umeme kununuliwa nje ya nchi wakati katika Jimbo lake la Mafinga kuna mwekezaji aliyekweza kwenye utengenezaji wa nguzo kwa kutumia mitambo aliyonayo na kisha nguzo hizo kusafirishwa kwenda nchini kwao na kisha kununuliwa na Serikali na kurudishwa nchini.

Msikilize hapa akitiririka.
View attachment 2181933
Labda ilikuwa kipindi cha Waziri aliyepita
 
Back
Top Bottom