Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za...
7 Reactions
123 Replies
7K Views
Leo hii vijana wengi wamegeuka kuwa wafuasi wa mawazo na mtazamo wa viongozi (chawa) Wengi wao hawahoji hata kama wanaona hali si shwari, badala yake wanakubali kila jambo. Je, huenda hii ndio...
3 Reactions
5 Replies
541 Views
Wadau poleni kwa kazi. Nijikite kwenye mada yangu kuhusu matamko ya baadhi ya wawakilishi wetu bungeni (narudia tena ni baadhi). Hivi karibuni, Mbunge wa Gairo, mheshimiwa Ahmed Shabiby alitoa...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Nimekuwa nikifuatilia Press za viongozi mbalimbali kuhusiana na mgigoro wa Russia na Ukraine, aisee huko mbele ndio kuna waandishi wa habari katika maana yake halisi. Sijawahi kusikia swali la...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma ...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Bismillahir Rahmanir Rahiim JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA Barua Pepe- jtkt.tz@gmail.com S.L.B, 2055, Dar es Salaam Kumb: JTKT/WKS/B1/21/F-SHR. 31. 08. 2021. JAMUHURI YA MUUNGANO WA...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu bado namtafuta mrithi wa Maalim Seif wa kupambania Zanzibar yenye mamlaka sahihi simuoni. Huyu Makamu aliyerithi kiti naona hana upepo wa kisiasa na Juma Duni Haji ni kama ameshapoteza Dira...
1 Reactions
2 Replies
659 Views
Jonas Akandunduma anasafiri kwa baiskeli kutokea Tunduma kuja kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe jijini Dar es salaam. Taarifa zaidi zitatolewa atakapowasili kwa sababu za...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na mkanganyiko wa wapi zilipo pesa za covidi kiasi Cha trillion 1.5 ambazo tuliambiwa kuwa zinajenga madarasa wakati huohuo tukiongezewa makato ya Miamala ya kutuma na kupokea pesa...
1 Reactions
17 Replies
970 Views
Nchi yetu imepita vipindi vingi, vyote vikiwa chini ya utawala wa TANU na baadaye CCM. Kila lililo jema na lililo baya katika Taifa letu lazima lishikamanishwe na CCM kama chama, japo tofauti...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi? Mi sijui. Ila kazi iendelee...
4 Reactions
4 Replies
734 Views
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba kuna Watoto wa Rais. Lakini hakunaga suala la watoto wa Rais mstaafu. Rais akistaafu unabaki kuwa " mtoto wa fulani". Duh.....hii imekaa kizalendo zaidi!
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
WAJANJA KAZI NA BATA INAENDELEAJE!? Leo 16:30pm 07/04/2022 Washamba tunalia hali ngumu huku mchele,unga na dagaa vyote vimepanda bei, nauli ya bajaji toka sh 500 hadi sh 1,000 vipato vyetu na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake...
16 Reactions
160 Replies
15K Views
Sitaki kujadili Reaction ambayo Chama cha Mapinduzi kimechukua kufuatia kile kinachoitwa uzushi wa Gazeti linatolewa kila Siku la Chama cha Mapinduzi, Gazeti la UHURU juu ya mama kudai kuwa...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanajamvi nimefuatilia mjadala mda mrefu naona kama JK ndiyo kageuka Mhimili wa CCM kila zigo bovu na matatizo anabebeshwa yeye kuanzia kipindi chake, kikaja kipindi cha Magufuli na sasa kipindi...
2 Reactions
7 Replies
782 Views
Taarifa kutoka Chadema inayosambazwa kote duniani, inaeleza kwamba ule mkakati kabambe wa kisasa wa kuchangia mabadiliko umeingia rasmi Mkoani Dar es Salaam na unaanza Jumamosi hii 9/04/2022 huko...
17 Reactions
90 Replies
5K Views
Back
Top Bottom