Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea.

Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi wake unaokaribiana na presidential security settings. Analindwa na huenda ulinzi wake sio wa viwango hivi na hii ni kutokana na kumgusa huyu bwana mkubwa ni kuigusa Tz kiuchumi.

Hana maneno mengi wala hana makuu. Unaweza fikiri wapambe wake ndio Yeye. Maana ni wa mwisho katika kila kitu hata neno la mkuu wk inepita kwenye mafuta inasemekana eti alikuwa nyuma ya ushauri....

Kupitia idara zetu msg ikamfikia mama na akawaambia umma jaman ile 100 tumekosea. Awali ilionekana wazo janja ila kumbe nyuma kulikuwa na jambo. Inasemekana ule ugomvi unafukuta kitaluni una siri juu ya hiyo mia ambayo ilikuwa waived while it was already charged ...... What real happen?

Jamaa walitaka kuirefund ndipo idara na wataalam wetu wakainyaka na kumfikishia mfugaji bwana huyu kiumbe wako... Anakoenda.......

Tufanyeje na sisi tuna agenda? Bwana wewe tukahutubia kwenye mkutano fulani tutatengeneza ila muonye kijana maamuzi yake yana walakini? Ila sisi tuachie tufanye kazi zetu.

Kumbuka pale kwa wizara kuna katibu mkuu. Sasa jumlisha toa how waliondoa hako ka mia? Na kulikuwa na majibizano gani.....

Ikumbukwe kuna kale kakauli kamtego mh alitoa kuwapumbaza majangili wa cake.... Ikumbukeni ile kauli ya Mh Hayati baba wa taifa aliposema Mtu mwenye akili akikwambia jambo lake la kijinga ukalitekeleza anakudharau".

End
 
Back
Top Bottom