Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema ameongea na wataalamu wabobezi wa mambo ya bandari ambao watakuja nchini kuifanyia maboresho makubwa bandari ya Dar es Salaam. Dr Mpango ambaye alikagua...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanaharakati anayesaka wadhamini mikoa mbali mbali amefika Kigoma na kupokelewa kwa shangwe na wanakigoma wakamuomba kuwa akiwa rais afanye yafuatayo; Kuwawajibisha wote waliohujumu taifa...
9 Reactions
104 Replies
17K Views
HIVI Plz Naomba Support Yenu Tufike Vijana Kadhaa Kwenda Kwa Mheshimiwa Nyerere Msasani Kumpongeza Kwa Uamzi Wa Kutangaza Nia Si Kukinyakua Chama Kwa Vibaka Bali Nchi Nzima Kwa Vibaka, Sisi Ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kauli uliyoitoa mapema leo huko Mwanza ya kwamba watu wa huko 'wasibomoleshwe' nyumba zao kwa sababu wao ndo walokupa urais si nzuri hata kidogo. Ni kauli ya kibaguzi kabisa na ambayo inapaswa...
214 Reactions
535 Replies
48K Views
Kama hili analosema Mbunge wa Sengerema, Tabasamu ni la kweli basi tuna safari ndefu. Kwamba haya mafuta tunayomalizia yaliletwa na TPDC kwa bei ya $28 Haya yanayoingizwa sasa yameletwa na...
8 Reactions
91 Replies
7K Views
[emoji625]Kibaha, Pwani. 9 Aprili, 2022. MDAHALO WA KITAIFA WA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA KUZALIWA KWA NYERERE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo wanajifanya kumponda sana Magufuli huku wakitambua wazi huko kwa wananchi wa kawaida jina Magufuli ni turufu mno kisiasa. Sasa basi,ifikapo 2024 kila rangi ya Chadema na watu wake watahamia...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali hii ina mbwembwe za ajabu na kupenda kiki kuliko awamu zote zilizopita, wadau mtakumbuka kuwa wakati magufuli akiwa nyumbani kwao chato alitangaza kuwa kuna watu wanaishi kama malaika kwa...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake. Tabasamu kwa aina ya biashara zake na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa, Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga. Na wengi...
14 Reactions
48 Replies
3K Views
Hayati Magufuli alisema tutamkumbuka kwa mazuri siyo mabaya ni kweli kabisa 95% ya kazi zake alizifanya kwa viwango vya utumishi wa umma uliotukuka. Kama binadamu kuna maeneo aliteleza ambayo...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Ninawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na...
1 Reactions
7 Replies
832 Views
Wakuu poleni na majukumu, Kwa nini wanasiasa wanatudanganya sanaz Kauli za PM ngapi zinasema kuhushu kushuka bei vitu tangu hata kabla ya vita ya huko ukraine? Vina shuka au ndo vinaongezeka...
5 Reactions
5 Replies
532 Views
Back
Top Bottom