Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha kukichangia chama hicho.

Kwa kweli nilichokiona ni fedheha kwa CHADEMA kwani mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo sana katika kampeni hiyo tofauti na matarajio ya chama hicho licha ya kuamua kumtembeza mtaani Mbowe wakidhani kuwa italeta chachu ya kuwajaza watu wengi katika kampeni hiyo, cha ajabu ni kwamba wananchi walikuwa busy na shughuli zao bila shobo yoyote kwa Mbowe na genge lake lisilozidi watu 10 walio kuwa wakihaha mitaani peke yao bila kumbatana na nyomi ya wafuasi na wapambe wa CHADEMA kama ilivyozoeleka kipindi chama nyuma.

Bila shaka CHADEMA walililenga Jimbo la Kawe wakijua ni ngome yao kama walivyozoea!!! Mazoea ya tabu…..Kawe ya sasa imebadilika siyo ile ya zamani…! Wananchi wako busy kutafuta pesa kwa ajili ya kujikimu na siyo kuungana na CHADEMA na ambao ni wachumia tumbo kujaa katika barabara za mitaa kumpamba Mbowe huku wakiacha shughuli zao.

Bila shaka Mbowe amejifunza kitu katika jambo hilo kuwa amepoteza mvuto wa kisiasa Nchini na alichokuwa anakifanya jana ni kutaka kupata huruma ya wananchi baada ya kutoka jela ili iwe chachu ya wananchi kukichangia fedha chama hicho, lakini matokeo yake yamekuwa tofauti….wananchi hawana habari nae…! Akaamua kuingia mpaka katika banda la kuchezesha betting lakini wapii…watu walikuwa busy na mambo yao…HAAHAHAHAHA.

Wananchi wa Kawe mmenishinda kwa Tabia………PEOPLEEEEEEES

1649571260083.png

1649571297632.png
 
Well planed and calculated.

Mmezuia mikutano ya kisiasa na hiyo ndiyo njia pekee ya Mbowe kuonana na kuongea na wananchi shida ya Mbowe sio michango ila anafanya mikutano ya kidiasa kwa namna nyingine.

Mbowe ni mpinzani mwenye akili nyingi na uthubutu wa kutenda na huyu ndiyo anawatesa sana CCM.
 
Umefungwa miezi minane, utatolewa jela kituo cha kwanza kuongea na aliyekufunga, mnakubaliana dili unamtetea na kumpigia debe mtesi wako.

Kelele za katiba mpya zimeisha. Kuaminika kwake na wananchi lazima kutapungua.
 
Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha kukichangia chama hicho.

Kwa kweli nilichokiona ni fedheha kwa CHADEMA kwani mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo sana katika kampeni hiyo tofauti na matarajio ya chama hicho licha ya kuamua kumtembeza mtaani Mbowe wakidhani kuwa italeta chachu ya kuwajaza watu wengi katika kampeni hiyo, cha ajabu ni kwamba wananchi walikuwa busy na shughuli zao bila shobo yoyote kwa Mbowe na genge lake lisilozidi watu 10 walio kuwa wakihaha mitaani peke yao bila kumbatana na nyomi ya wafuasi na wapambe wa CHADEMA kama ilivyozoeleka kipindi chama nyuma.

Bila shaka CHADEMA walililenga Jimbo la Kawe wakijua ni ngome yao kama walivyozoea!!! Mazoea ya tabu…..Kawe ya sasa imebadilika siyo ile ya zamani…! Wananchi wako busy kutafuta pesa kwa ajili ya kujikimu na siyo kuungana na CHADEMA na ambao ni wachumia tumbo kujaa katika barabara za mitaa kumpamba Mbowe huku wakiacha shughuli zao.

Bila shaka Mbowe amejifunza kitu katika jambo hilo kuwa amepoteza mvuto wa kisiasa Nchini na alichokuwa anakifanya jana ni kutaka kupata huruma ya wananchi baada ya kutoka jela ili iwe chachu ya wananchi kukichangia fedha chama hicho, lakini matokeo yake yamekuwa tofauti….wananchi hawana habari nae…! Akaamua kuingia mpaka katika banda la kuchezesha betting lakini wapii…watu walikuwa busy na mambo yao…HAAHAHAHAHA.

Wananchi wa Kawe mmenishinda kwa Tabia………PEOPLEEEEEEES

View attachment 2182371

View attachment 2182372
Kama kimekosa mvuto wewe hapa unatafuta nini?
 
Usilolijua liache lipite tu, lengo jalikuwa kuganya mkutano, lengo lilikuwa unamshika mikono miwili mnaagana kwisha.
 
Hivi unafahamu Malengo ya Join The Chain ?
Mimi nayafahamu. Ni haya ya kupuuzwa na kupoteza wapiga kura katika kila uchaguzi na baadae kusingizia kuibiwa. Kuna watu humu kabla 2025 watakuwa washakufa na presha. Maana kwa aina hii ya siasa za kuunga unga, ni dhahiri muda sio mrefu hali itakuwa mbaya zaidi kwa chama na chawa wao.

IMG-20220407-WA0040.jpg

images (7).jpeg

images (8).jpeg

images (41).jpeg

images (10).jpeg
 
Mkuu mtoa mada.
Mimi binafsi na familia yangu tumechangia dola 75 za kuwashika mkono.

Katiba mpya ni muhimu kwa Tanzania kama Taifa.

Yeyote mwenye harakati za kudai katiba mpya mimi na familia yangu tutasupport kwa njia moja ama nyingine.
Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha kukichangia chama hicho.

Kwa kweli nilichokiona ni fedheha kwa CHADEMA kwani mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo sana katika kampeni hiyo tofauti na matarajio ya chama hicho licha ya kuamua kumtembeza mtaani Mbowe wakidhani kuwa italeta chachu ya kuwajaza watu wengi katika kampeni hiyo, cha ajabu ni kwamba wananchi walikuwa busy na shughuli zao bila shobo yoyote kwa Mbowe na genge lake lisilozidi watu 10 walio kuwa wakihaha mitaani peke yao bila kumbatana na nyomi ya wafuasi na wapambe wa CHADEMA kama ilivyozoeleka kipindi chama nyuma.

Bila shaka CHADEMA walililenga Jimbo la Kawe wakijua ni ngome yao kama walivyozoea!!! Mazoea ya tabu…..Kawe ya sasa imebadilika siyo ile ya zamani…! Wananchi wako busy kutafuta pesa kwa ajili ya kujikimu na siyo kuungana na CHADEMA na ambao ni wachumia tumbo kujaa katika barabara za mitaa kumpamba Mbowe huku wakiacha shughuli zao.

Bila shaka Mbowe amejifunza kitu katika jambo hilo kuwa amepoteza mvuto wa kisiasa Nchini na alichokuwa anakifanya jana ni kutaka kupata huruma ya wananchi baada ya kutoka jela ili iwe chachu ya wananchi kukichangia fedha chama hicho, lakini matokeo yake yamekuwa tofauti….wananchi hawana habari nae…! Akaamua kuingia mpaka katika banda la kuchezesha betting lakini wapii…watu walikuwa busy na mambo yao…HAAHAHAHAHA.

Wananchi wa Kawe mmenishinda kwa Tabia………PEOPLEEEEEEES

View attachment 2182371

View attachment 2182372
 
kwa namna hii mwenyekiti akisema yeye ndiye mwenye chama, nazani ni haki yake na hasipo kuwepo na chama kina kufa... chama kilipoa ila sasa mwenye chama amerejea kwa speed...
 
Back
Top Bottom