Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?
Haya, wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!
Kumbuka tokea juzi walikata...
Ukifuatilia hotuba za viongozi wetu karibia wote wa ngazi za juu hakuna hata mmoja anayetoa tumaini au suluhisho la ugumu wa maisha kwa sasa kutokana na kupanda kwa bei za mafuta aina zote na...
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la...
“Less Government, wenzetu nchi nyingi wana Less government,
Siyo kila sehemu Serikali, ukigeuka huku Serikali, ukienda huku serikali mhh!
Watu wapumue kidogo, Watu wajinafasi Kwenye nchi yao!”...
Ubinafsi uroho na ulaku wa kupiga hela ya umma unapelekea miradi nchini Tanzania kutolewa hela mara mbili au hata tatu.
Kwa mfano hili zoezi la anuani za makazi linalopigiwa kelele na hii...
Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni...
Baadhi ya Wabunge wetu ni wazuri sana. Huchangia na kusimamia hoja za msingi za kutetea maslahi ya watu wa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla.
Wabunge wengine huenda Bungeni kusinzia, kukaa tu kimya...
1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi
2...
Nawaza sana,kama nyimbo ya kijana wangu inavyosema naona kabisa Bunge kurudi LIVE kuna wabunge wanatema nyongo na sio michango!
Dini ya Kiislamu inaruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja ila hurusiwi...
Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2)...
Watanzania kwa kawaida huwa hawajulikani wanataka nini!
Kwa sasa wizara ya nishati ndio yenye changamoto nyingi kufuatia vita ya Russia na Ukraine.
Waziri anajitahidi kwa uwezo wake lakini...
MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri...
Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia...
Ndugu Mathew Kilama, Wakati nakupongeza kwa kuteuliwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ningependa kukupa angalizo kuhusiana na utendaji usioridhisha wa Tume ya...
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?
Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa...
Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji.
Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka...
INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili...
Miaka ya 2000 niliishi Jiji la Mbeya eneo la Mbalizi. Nilikaa kwenye jiji lile kwa miaka 4
Humu JF nimekuwa mkosoaji mkubwa wa Jiji la Mbeya Hasa kwa namna lilivyojengwa hovyo na nimekuwa...