Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,602
Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji.

Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.) Kila mkoa.

Nikajiuliza hivi tunatumia formula gani katika kugawana fedha kati ya Tanganyika na Zanzibar?

Anaefahamu naomba anijuze tafadhali.
 
Kwa mambo yanayohusu Muungano zinatumika sheria na makubaliano lakini masuala menginw Zanzibar nayo ina mipango na taratibu zake kama nchi
 
Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji.

Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.) Kila mkoa. Nikajiuliza hivi tunatumia formula gani katika kugawana fedha kati ya Tanganyika na Zanzibar?

Anaefahamu naomba anijuze tafadhali.
The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.

Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
 
Kaka pascal mbona za Tra wamepewa 21%?
 
Kaka Kuna tofauti kubwa kati ya ilivyo na inavyotakiwa kuwa.
 
The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.

Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia?

Hizo pesa za anuani za makazi zinatoka account gani ? Inachangiwa na nani?

Kuna upotofu, hela za Tanganyika zinagawiwa Zanzibar hakuna suala la kugawana

Kama tunagawana tuonyeshwe mchango wa Zanzibar! Mbona kugawana tuuu hakuna kuchangia?

Kikokotoo ulichosema kwanini kinatumika kugawana na si kuchangia muungano?

Hakuna kitu kinaitwa 'kugawana'', kinachofanyika ni kuwagawia Zanzibar pesa za Watanganyika
 
The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.

Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Sawa mkuu wa elimu hii. Kwani huku Tanzania Bara fedha zinagawanywaje kwenye mikoa, Wilaya, tarafa, kata na vijiji?
 
Kaka pascal mbona za Tra wamepewa 21%?
There's no first and hard rules, Zanzibar ni wenzetu, tunaweza kugawana hadi 50/50 na hakuna ubaya wowote, Ila uwiano wa kuwianika kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ni asilimia 4.5% kwa 95.5%.
P
 
Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia ?

Hizo pesa za anuani za makazi zinatoka account gani ? Inachangiwa na nani?

Kuna upotofu, hela za Tanganyika zinagawiwa Zanzibar hakuna suala la kugawana

Kama tunagawana tuonyeshwe mchango wa Zanzibar! Mbona kugawana tuuu hakuna kuchangia?

Kikokotoo ulichosema kwanini kinatumika kugawana na si kuchangia muungano?

Hakuna kitu kinaitwa 'kugawana'', kinachofanyika ni kuwagawia Zanzibar pesa za Watanganyika
Unajua kwamba waTanganyika ni wajinga mno.Tupo kwenye ndoa ambayo haina mlingano. Unampa tu lakini yeye hakupi.

1.Wana haki ya kugombea nafasi ya kugombea nafasi yeyote ilimradi aungwe mkono. Nenda Zanzibar uone kama utachaguliwa hata ujumbe Wa nyumba kumi.

2. Wanaajiriwa popote Tanzania. Ukienda kwao ajira SMZ ni kwa ajili yao tu.

3.Wanaruhusiwa kununua ardhi huku ila kule kwao ardhi ni yao tu

4.Wanagawiwa wasichochangia.

4.Wanaweza kutoa raisi Wa Watanganyika ila sisi hatuwezi. Ninaupenda muungano ila wore tupoteze sio upande mmoja tu ndo upoteze. Tanganyika hatuna identity lakini wao wanayo.

Hii ni hatari kwaistawi wa taifa. Miaka mia moja ijayo wajukuu wetu watatulaumu sana.

Kwa mini tuungane nusu?
 
D
There's no first and hard rules, Zanzibar ni wenzetu, tunaweza kugawana hadi 50/50 na hakuna ubaya wowote, Ila uwiano wa kuwianika kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
P
At the moment they are 2M against 59. It is impossible to go 50/50 with them. Tuwe kama ujerumani. Huwezi kujua huyu ni Wa west au east. Why?

Waliacha identity zao wakaunda identity mpya
 
The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.

Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
kwa hayo mahesabu zanzibar inapata asilimia 9 mara mbili ya inachostahili hapo hatujui yenyewe inachangia kiasi gani
 
Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia ?

Hizo pesa za anuani za makazi zinatoka account gani ? Inachangiwa na nani?

Kuna upotofu, hela za Tanganyika zinagawiwa Zanzibar hakuna suala la kugawana

Kama tunagawana tuonyeshwe mchango wa Zanzibar! Mbona kugawana tuuu hakuna kuchangia?

Kikokotoo ulichosema kwanini kinatumika kugawana na si kuchangia muungano?

Hakuna kitu kinaitwa 'kugawana'', kinachofanyika ni kuwagawia Zanzibar pesa za Watanganyika
Kugawana lazima kuwepo, Mtu ikiipatia msaada Tanzania lazima huo msaada tuugawane kati ya pande zetu mbili za muungano.

SEMA labda swali lingine ni je Kuna siku msaada unaweza kutolewa kwa Tanganyika TU au kwa Zanzibar TU na sio kwa Tanzania nzima? Je, kwa mfano kama msaada umetolewa kwa Zanzibar TU je Zanzibar wanaigawia Tanganyika?

Na je, kwenye kulipa madeni tuliyokopa uchanhiaji wa malipo ya deni unakuwaje?
 
Kwanini tunagawana hatuzunguziii kuchangia?
Tunagawana mali za nani?
Articles za union, ziliweka Tume ya pamoja ya fedha. Zanzibar na Tanzania Bara, zilitakiwa kuchangia gharama za uendeshaji wa serikali ya muungano.

Ili Zanzibar ichangie gharama za uendeshaji wa muungano, ni kwanza gharama hizo ziainishwe. Ili gharama za uendeshaji wa muungano ziainishwe, lazima tuwe na serikali 3. SMZ Zanzibar wajibebe, STB, Tanzania Bara wajibebe, na serikali ya JMT, hii ndio ichangiwe na SMZ na STB.

Kwa sasa ndani ya serikali ya JMT, there is no demarcation ya gharama za uendeshaji wa muungano kwa sababu serikali hiyo hiyo ya JMT ndio serikali ya muungano kwa wizara za muungano, at the same time ndio serikali ya Tanganyika kwa shughuli ambazo sio za muungano.

Zanzibar ina haki na uhalali wa kugomea kuchangia gharama zisizojulikana, as a result, ni Tanzania Bara pekee ndio inagharimikia gharama za uendeshaji wa muungano.
P
 
Unajua kwamba waTanganyika ni wajinga mno.Tupo kwenye ndoa ambayo haina mlingano. Unampa tu lakini yeye hakupi.
1.Wana haki ya kugombea nafasi ya kugombea nafasi yeyote ilimradi aungwe mkono. Nenda Zanzibar uone kama utachaguliwa hata ujumbe Wa nyumba kumi.
2. Wanaajiriwa popote Tanzania. Ukienda kwao ajira SMZ ni kwa ajili yao tu.
3.Wanaruhusiwa kununua ardhi huku ila kule kwao ardhi ni yao tu
4.Wanagawiwa wasichochangia.
4.Wanaweza kutoa raisi Wa Watanganyika ila sisi hatuwezi. Ninaupenda muungano ila wore tupoteze sio upande mmoja tu ndo upoteze. Tanganyika hatuna identity lakini wao wanayo. Hii ni hatari kwaistawi wa taifa. Miaka mia moja ijayo wajukuu wetu watatulaumu sana. Kwa mini tuungane nusu?
Wazanzibar walielemika miaka mingi sana kabla ya Tanganyika, wote walikuwa wanajuwa kusoma na kuandika tangu wakati wa mkoloni, walikuwa na maji, schools, television siku nyingi sana nyuma kabla ya Tanganyika.

Hivyo Hata kwenye meza ya majadiliano wako vizuri sana na ndio maana Zanzibar IPO na Tanganyika imekufa. Watu wa Bara hata kuingia mikataba ya madini Yao wanashindwa kupata faida.

Mfano, Tanganyika tumekwenda kukomboa nchi nyingine bila makubaliano ya aina yoyote, pesa zetu nyingi zilipotelea huko.
 
Back
Top Bottom