Naibu Waziri wa Katiba na Sheria: Tuipe muda Katiba ya sasa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,456
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti.

Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, iliyokabidhiwa kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kila siku katika maeneo mbalimbali nchini.

Pinda alisema Katiba hii ni kama Biblia au kitabu chochote cha dini, ambapo kila mmoja akisoma huja na tafsiri tofauti, jambo ambalo linaleta mkanganyiko kwa jami ambayo husikia na kuichambua vipengele vichache bila kuisoma.

Aliziomba taasisi zote zinazopata nafasi ya kuisemea Katiba kuwa zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa wananchi juu ya uwelewa wa Katibab iliyopo kwa sababu ni mwongozo wa masuala mbalimbali katika utendaji haki za binadamu.

"Naziomba taasisi husika zinapopata nafasi zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa jamii juu ya Katiba iliyopo, hiyo itasaidia watu kuelewa suala la Katiba na sio kutembelea na vipengele viwili na kuvitafsiri tofauti," alisema Pinda.

Alisema kama Katiba ingekuwa mbovu basi serikali ingeshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, na kuwa ndio maana imejikita kutoa elimu kwa jamii uwelewa kuhusu Katiba iliyopo na mpya ambayo inazungumziwa.

Alisema serikali inatambua umuhimu ndio maana imeamua kukutana na wadau wa vyama vya siasa kujadili nao.

Chanzo: Nipashe
 
👇👏👏👏
🐒🐒🐒👇
 
😁😁😁
 
Huyu Ni Naibu Waziri,
He angekuwa waziri kamili?
Yale Yale waliyo yasena kina Zitto ndiyo maccm wanaya rudia.
 
Katiba Mpya ni hitaji la wanasiasa wanaotaka kugawana madaraka.

Wananchi tunataka maendeleo basi. Inasikitisha sana kuona uongozi mbovu unaokumbatia mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

#kataawahuni
 
Hayo anayoyasema Naibu Waziri Pinda in Yale Yale ya kauli za walioshiba,walioshiba huwa wanaogopa mabadiliko.Miaka takriban 8 iliyopita tulifikia hatua za mwisho mwisho za kuipata Katiba Mpya.Shughuli ile iliisha kwa sherehe na kuserebuka za wanaccm kwenye Bunge la Katiba.Kwa nini hakuna ndani ya CCM na Serikali yake anayeongelea hilo?
CCM wanaikwepa Katiba Mpya kwa sababu za ubinafsi wao na suala LA kuwa wananchi hawahitaji Katiba Mpya ni propaganda za siku zote.Kama ni kuweka viraka Katiba ya 1977 vimewekwa vile vinavyoisitiri CCM na watu wake.Vipengele vinavyowapa wananchi Haki havijadiliwi na wanaovidai wanafanyiwa hiyana na dola.
Katiba nzuri ni ile inayozingatia maslahi mapana ya wenye nchi na siyo maslahi ya watawala.
 
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti.

Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, iliyokabidhiwa kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kila siku katika maeneo mbalimbali nchini.

Pinda alisema Katiba hii ni kama Biblia au kitabu chochote cha dini, ambapo kila mmoja akisoma huja na tafsiri tofauti, jambo ambalo linaleta mkanganyiko kwa jami ambayo husikia na kuichambua vipengele vichache bila kuisoma.

Aliziomba taasisi zote zinazopata nafasi ya kuisemea Katiba kuwa zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa wananchi juu ya uwelewa wa Katibab iliyopo kwa sababu ni mwongozo wa masuala mbalimbali katika utendaji haki za binadamu.

"Naziomba taasisi husika zinapopata nafasi zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa jamii juu ya Katiba iliyopo, hiyo itasaidia watu kuelewa suala la Katiba na sio kutembelea na vipengele viwili na kuvitafsiri tofauti," alisema Pinda.

Alisema kama Katiba ingekuwa mbovu basi serikali ingeshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, na kuwa ndio maana imejikita kutoa elimu kwa jamii uwelewa kuhusu Katiba iliyopo na mpya ambayo inazungumziwa.

Alisema serikali inatambua umuhimu ndio maana imeamua kukutana na wadau wa vyama vya siasa kujadili nao.

Chanzo: Nipashe
Ndio tatizo kuwa Nchi ya kisultani watoto wawakubwa wamerisiswa madaraka Hadi yanawalevya !
Hivi ile sheria iliyoundwa ya mabadiliko ya katiba ,tume ya warioba ya kukusanya maoni, Bunge la Katiba mama samiya akiwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba !
Hivi yote haya tamepuuzwa !!!
Hii Nchi ngumu Sana yaani Mungu pekee ndiye kimbilio letu Kama alivyotufanyia mapinduzi baridi bila kumwaga Damu hata Sasa angali kazini tuendelee kusugua magoti.
 
Katiba Mpya ni hitaji la wanasiasa wanaotaka kugawana madaraka.

Wananchi tunataka maendeleo basi. Inasikitisha sana kuona uongozi mbovu unaokumbatia mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

#kataawahuni
Wanasiasa siyo wananchi?Mafisadi na wanaokumbatia mafisadi,wala rushwa na waliowatesa Watanzania wenzao ndiyo hao wasiotaka Katiba Mpya(CCM).Wameshindwa kuiongoza nchi yetu,ambayo ina raslimali lukuki na Sasa tunaogelea kwenye dimbwi la umaskini Wa kutupwa.
Kwa miaka 60+ Tanzania Huru bado ni Omba omba duniani!Tunasaidiwa hata kujenga matundu ya vyoo kwenye taasisi kama shule?
Katiba tuliyonayo imeshindwa kujitetea inapovunjwa na watawala na ndiyo maana CCM hawataki Watanzania waandike Katiba Bora inayoweza kuwawajibisha wanaposhindwa kutimiza wajibu.
Ndiyo maana sisi wananchi wa Tanzania tunataka kuandika Katiba Mpya na Bora Kwa maslahi ya wote.
 
Idiot at his/her pick. How can we achieve anything in this corruption, impunity, unaccountability, laziness envinroment? Foolish! We need to lie the foundation first! We need to have a clear and smooth way of electing the best, visionary, tested leaders and take them accountable when they fail to deliver.
 
Kati ya Watanzania Million 60, Mbowe na CHADEMA ni asilimia ngapi?
 
Huyo dogo sijui ametumwa na nani?labda amesahau katiba misingi yake ni nini.
Ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa.Sasa watawaliwa wanataka katiba mpya yenye mashiko.
Labda aseme hakuna fedha ya kumalizia mchakato wa katiba mpya.Lakini Mama yetu leo hii akiomba msaada wa fedha za katiba kutoka nchi za magharibi bakuli itajaa mapema asubuhi.
Kinachotakiwa ni utashi tu.
 
Idiot at his/her pick. How can we achieve anything in this corruption, impunity, unaccountability, laziness envinroment? Foolish! We need to lie the foundation first! We need to have a clear and smooth way of electing the best, visionary, tested leaders and take them accountable when they fail to deliver.
We achieved so much under the regimes of Mwl. Nyerere, Ndg. Mkapa & Ndg. Magufuli using the same constitution, you ass hole.
 
Why then we are still among the least developed countries in the world Mr/Miss ''genius''? And why are you crying for wananchi wanataka maendeleo kwanza!
 
We ain't the least developed you dumb, we are middle income country.

Stop discussing the topics that you know nothing about.

Shut your f*cking mouth off, observe and learn.
 
Kweli kabisa,katiba ya marekani Ina miaka 200 lakini ipo, wanairekebisha hapa na pale kitokana na mahitaji ya wakati
 
We ain't the least developed you dumb, we are middle income country.

Stop discussing the topics that you know nothing about.

Shut your f*cking mouth off, observe and learn.
Andika kiswahili tu. Acha ku-translate neno kwa neno!
 
Back
Top Bottom