Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha,
Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama...
Airbus Helicopters H225 ina horsepower 1,820, inatumia mafuta ya Jet-A1. Wastani inakunywa 540 us liquid gallons/hour=2,044.122 litres/hour. Gharama za kujaza pale JNIA ni US$3.612 (Shs. 8,390.87)...
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have...
Kiongozi wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe alikuwa kwenye kipindi cha Tv ndani ya Clouds TV asubuhi ya leo Aprili 11, 2022 amezungumza mambo mengi ya kisiasa, haya ni baadhi ya yale aliyozungumza...
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta
Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo...
Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia...
Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za...
Ni bayana na hata yeye anafahamu,hapendwi!
Hii ni kwa sababu ya matendo yake.Makonda amekuwa anajifanya mwema na shupavu katika kazi jambo ambalo sivyo.
Huwezi ukawa mwema na mchapakazi mahili...
Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika...
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai...
Kwanini Jumuiya ya Afrika Masharini tusiwe nchi moja ambayo tutaogozwa na rais mmoja?
Yaani tuwe na serikali ya shirikisho na seriklai za kijimbo itapendeza saana na hivi vitafanya tuendelee...
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana...
Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini...
Juzi kati hapa niliona sehemu wamarekani wanalalamika. Wabunge wao wanajihusisha na inside trading kwenye soko la hisa. Inaonekana kwa kutumia nafasi zao wanapata taarifa nyeti zinazowawezesha...
"Marufuku kwa watumishi wa serikali kudai nyogeza ya Mshahara"
Anasema walioandamana kudai nyongeza ya Mshahara mei mosi walipaswa kuchapwa viboko.
Nini Maoni yako?
Anaandika Thadei Ole Mushi
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni wapewe privilege ya magari yao kuwa na Special number.
Sababu kubwa ya...
Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.
Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.
Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa...
Salaam,
Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.
Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni...
Wanabodi
Ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa ndio barua ya kuomba kazi ya kutawala kwa chama fulani, ukiisha chaguliwa, utekelezaji wa ilani ndio mkataba kati watawala na watawaliwa, mtu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.