Hivi karibuni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Bwana Paul Makonda kupitia Instagram account ya Baba Keagan ameandika Kwamba kuna njama za kutaka kumuua ama kumsingia kesi ya kuhujumu...
Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo.
Sukari ina impat kwa...
Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia.
Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu.
Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo...
Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli.
=======
Rais Filipe Nyusi wa...
Nimekutana na kikundi cha vijana waliovaria sare kama za NCCR mageuzi wakiwashawishi vijana nyumba kwa nyumba kujoin the chain.
Yaani ni kama maandamano " fulani "
Ndio nauliza wana KIBALI cha...
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni...
Niko pale Mbezi beach kwa Komba nikaona heka heka shangwe na nderemo wanyonge wanamshangilia Mwamba.
Kusogea karibu kumbe ni mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe basi nikamsikiliza kidogo na kumtia...
Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa...
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala...
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi...
Kwa sasa siyo siri tena kwamba kuna Vita kali na ya chinichini inaendelea kati ya RC Makonda akisaidiwa na Rais Magufuli zidi ya Mawaziri wa Serikali ya CCM na Bunge la JMT.Hii vita ilianza kama...
Mfumko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia.
Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya...
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na mijadala lukuki kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Wapo wanaharakati na wanasiasa kadha wa kadha wamekuwa wakifanya...
Na Deodatus Balile
Wiki mbili zilizopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Rwanda, Burundi na mkoani Kagera. Sehemu kubwa ya safari hii nilitumia gari. Nimepita nchi kavu kutoka Mwanza, Bukoba...
KUHUSU ELIMU YAKE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefunguka tuhuma zinazozushwa kupitia mitandao ya kijamii na watu mbalimbali kuhusu elimu yake na zinazoeleza kuwa amefoji cheti cha...
Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?
Haya, wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!
Kumbuka tokea juzi walikata...
Ukifuatilia hotuba za viongozi wetu karibia wote wa ngazi za juu hakuna hata mmoja anayetoa tumaini au suluhisho la ugumu wa maisha kwa sasa kutokana na kupanda kwa bei za mafuta aina zote na...
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.