elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,474
“Less Government, wenzetu nchi nyingi wana Less government,
Siyo kila sehemu Serikali, ukigeuka huku Serikali, ukienda huku serikali mhh!
Watu wapumue kidogo, Watu wajinafasi Kwenye nchi yao!”
Nashauri Wizara ziwe na uwezo wa Kufanya matumizi bila kibali kutoka juu, tuwe na imani na mawaziri wetu.
Kuna maana kwa nini mawaziri wetu ni wabunge pia, walikubalika majimboni Locally so tunaweza kuwaamini nationally.
Napendekeza Warsha na Sherehe mbalimbali za kiserikali zifanyike ili kuruhusu fedha kuingia mifukoni kwa Watu—Pesa iflow kutoka juu!
Cha msingi serikali ihakikishe inakusanya mapato ya kutosha!
Serikali iendelee kukopa kama deni la taifa ni stahimilivu.
Serikali itoe tender kwa Watu na Kampuni binafsi siyo kila tender linapewa shirika la Umma au la kiserikali!
Serikali iajili kila mwaka ili kuwafikia wananchi wengi zaidi, Yaani Imwage Ajira kama mvua!
Serikali iweke mashariti nafuu ya Watu binafsi waweze kukopesheka
Serikali iruhusu miradi mingine kufanywa na wawekezaji na wafanya biashara wenye mapesa!
Kama bwana yule alifosi mambo kibabe kuitwika kila kitu Serikali Awamu hii na zijazo tuachane na mambo hayo!
Haina maana kuishi kwa kujibana sana, lazima baadhi ya loopholes ziwepo ili maisha yaende.
Yupo wapi aliyekunja sura kubana watu, kufunga, kuwasema, kuwaweka under house arrest , kutosafiri na mengine mengi!
Serikali isiwe na Roho mbaya!
Naamini Chini ya Ushauri Wa mzee wa Msoga aka JK,Maisha Bora kwa kila mtanzania yatarudi na kutimiatena
Not a satire.