Unapomtaka Rais mpya lakini unaye wa zamani sio uhujumu dhidi ya uliye nae kwa muda huo?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Nawaza sana,kama nyimbo ya kijana wangu inavyosema naona kabisa Bunge kurudi LIVE kuna wabunge wanatema nyongo na sio michango!

Dini ya Kiislamu inaruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja ila hurusiwi kuoa pasipo hiyari ya mkeo wa kwanza au pili au watatu.

Taifa kama Taifa tunae Rais anae tuongozza sasa hivi na ameisha kiri kuendeleza yale yaliyofanywa na mwendazake, well natambua Mchungaji Gwajima anaona kama mama anatania maana anasema anaendeleza ya mtangulizi wake wakati Magu alikataa chanjo ila Samia anataka chanjo hapo nahisi ndipo walipo na ugomvi mkubwa sana na haiwezi kuisha leo.

Je, kuwa na Rais madarakani na anatokea mtu anatwambia tunamtaka Rais ambaye ana maono kwa nini hasimshauri Rais aliyepo madarakani awe na maono na badala yake anasema anamtaka mwenye maono?

Je, huu sio uhujumu wa wazi kabisa dhidi ya Rais aliyepo madarakani?

Tunaitaji nini kifanyike ili tuamini yakuwa ni uhujumu?

Karibuni wadau.
 
Hawa yatima wa Sukuma gang ni wa kupuuzwa, licha ya changamoto zilizopo wananchi sasa tunapumuwa.

Nimeziona awamu zote sita hakuna wa kunidanganya, mama anarekebisha damage iliyofanywa na yule mgonjwa wa akili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom