Uwanja wa ndege Chato sasa kiunganishi kikubwa kanda ya Ziwa Victoria na Magharibi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.

Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
IMG_20210514_193430.jpg
 
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanada ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.
Huu ndiyo mnara wa kuongozea ndege
1621011654747.png
 
Huo Uwanja sijui hizo fedha zingejenga Shule ngapi
Hapo palistahili Air strip ndogo tu ya Changarawe
Nilitegemea uwanja unekuwa busy sana siku ya mazishi ya Mwendazake, lakini ni kama viongozi wote walikwenda kwa magari
 
Back
Top Bottom