Kama unafuatilia habari za kisiasa. Hivi karibuni Makamba amekuwa akitajwa sana kwenye mitandao ya Jamii forums na Twitter kwa tuhuma mbalimbali.
Kuna wabunge pia wamemuattack directly kama...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo...
Habari zenu wakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Soko jipya waliopangwa machinga Buhongwa(Dampo)limejaa ukiritimbaa,dhuluma na uonevu mkubwa. Viongozi kuazia ngazi ya mwenyekiti wa...
LENGO la kupunguza nusu ya watu wanaoishi katika umaskini na njaa nchini Tanzania na kuwafanya wawe katika uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 linaweza kuhatarishwa na ongezeko la idadi ya watu...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema elimu ya juu inaporomoka huku akishangaa kushuka kwa viwango vya kupata uprofesa.
Hali hiyo imemfanya ayatake Mabaraza ya Vyuo...
Kuajiri watumishi wake hadi ngazi ya Wilaya, kata
Sasa rasmi kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa
Mapendekezo ya muundo wake yasubiri wadau
===
Kwa mujibu wa Gazeti la Raia Mwema la Aprili 11...
NIMELAZIMIKA kuendelea na mada yangu leo kwa sababu ya msukumo wa wasomaji walionitumia maoni.
Ninashukuru kwamba safari hii maoni yamekuwa chanya. Sio kwamba wasomaji wote walikubaliana na...
Rais Magufuli awaaga rasmi waliokuwa Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Mipango(President Delivery Bureau - PDB) ambao wamehamishiwa katika Taasisi nyingine za Serikali...
Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na...
Hi team.
Kama taifa ni dhahili tuko safarini kuelekea yanako maendeleo ila ni ngumu sana kuelewa malengo yetu hasa ni yepi, tunakwenda wapi, ni lini hasa tuwe tumefika, na kwamba njia yetu hasa...
Utangulizi
Uchumi Korea kusini ulikuwa mdogo kwa Tanzania miaka ya 1960-70.
Tafsiri ya agrarian economy
an agrarian economy is a type of economy that relies primarily on agricultural industry...
===========================Updated August 2019 ==========================
Raisi John Joseph Pombe Magufuli bado anaendelea na kazi yake ya kuisafisha nchi yetu ambayo haikuwa safi katika kila...
Salaam,
Imekuwa ni tabia ya viongozi waandamizi wa chama (CCM) na serikali ya JMT, haswa mawaziri, na wabunge wa CCM, kupiga kelele pale waambiwapo kwamba serikali yao haifanya lolote la maana...
Katika tawala za JK Nyerere, AH Mwinyi zilikuwa na fashion moja, wanasiasa ndio walikuwa juu ya kilakitu!
Wanasiasa walikuwa wanaakili, wajuaji, ndio waelewa wa kila kitu na wenye akili kupita...
Wanabodi
Preamble: Naunga mkono juhudi zote zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima na badala yake fedha hizo zitumike kuleta...
Kila mwana JF na hasa kwenye hill jukwaa la siasa kufight back against TROLLS from BAVICHA na UVCCM ambao wanakuja hapa na kutuletea threads ambazo hazina tija kwa maendeleo ya hii nchi
Sasa...
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la...
Ni kwa mujibu wa Channel Ten TV, Jioni hii, 17/04 /2016
Akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam amehusika kwa kuiongezea kampuni ya utozaji ushuru wa parking jijini Dar es Salaam, pamoja na...
Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha,
Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama...