Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Utangulizi
Uchumi Korea kusini ulikuwa mdogo kwa Tanzania miaka ya 1960-70.
Tafsiri ya agrarian economy
an agrarian economy is a type of economy that relies primarily on agricultural industry including livestock farming or crop production. It is a form of economy whose major factor of production is the agricultural land.
Kama Nchi bado hatujaweza kuwa strong agriculture sector tusahau kuhusu Viwanda. Sector ya agriculture involve kilimo na ufugaji. Vilevile sekta ya uvuvi bado duni..tusitegemee Viwanda kabsa.
Ili Nchi iwe ya Viwanda lazima ipitie stage ya kuwa na strong agrarian economy. Wazungu walipitia stage hii ya kuwa sekta ya kilimo iliyostrong baadaye Viwanda. Sisi km Nchi hatujui hata tunataka nini. Bahati mbaya viongozi/wanasiasa wetu wanajua kuliko wananchi wao.Tokea Uhuru tulishaunda slogan na Sera nying za kilimo km kilimo uti wa mgongo au kilimo kwanza lakini bado zote hazijawahi kuwa na majibu mubashara.
Sera za mkukuta na mkurabita sijui hata km zilifanyiwa evaluation kujua tulifail wapi. Awamu ya tano inasema inataka kutupeleka kwenye Viwanda labda km Viwanda vya kuuuza chips na mikate. Ili sekta ya Viwanda iimarike au kufanikiwa lazima uweze kuestablish sekta ambayo inachukua watu wengi. Kwa Tanzania ukiweka mkazo kwenye kilimo hasa cha umwagiliaji na ufugaji bora basi Viwanda in suala la kuamua tu. Kwenye kilimo unaweza pata malighafi zaidi ya ishirini kwa Viwanda..unaweza kuwa na Viwanda vya mafuta ya kula, nguo, kamba(sisal), ngano, juices, beef, viatu(ngozi), sigara(tumbaku). Bila ya kuwa na strong agrarian economy kuhusu Viwanda tunadanganya tu.
Leo watu tunaambiwa na wanasiasa kuwa Tanzania ya Viwanda inakuja huo ni uongo wa asubuhi mapema. Wanasiasa hata hawajui priority kwa wananchi wao...!!
Ili Nchi iwe Viwanda lazima vifuatavyo viwepo kwenye Nchi
1- Malighafi ( umuhimu wa agrarian economy)
2- umeme/ niahati imara
3-miundombinu km reli,barabara
4- hali ya usalama wa kisiasa na amani ( political stability)
5-mazingira wezeshi( reasonable taxes, Sera nzuri za ndani( favourable policy) mahusiano imara ya kimataifa(diplomacy)
Je kwa hayo matano siye tupo imara wapi. Ni kweli tuna amani ..but amani bila kuwa na good strategic plan ya Nchi tutaishiwa kudanganywa tu na wananchi.
Leo tunaona mabadiliko ya hali ya hewa ( climate change) yanavyoathiri kilimo na ufugaji..je waziri Makamba ( waziri wa mazingira) na Chiza ( waziri kilimo&uvuvi) mmechukua adaptation measures gani kukabiliana na hali hii ili muweze kunusuru mifugo na kilimo..najua mitigation measures kama Nchi hatuwezi but hata adaptation methods hatuwezi.?? Bado kilimo chetu kinategemea jembe na kudra za mvua, Nchi inabahari, maziwa na mito..hatuna hata Ranchi za mifugo
Suala la Viwanda Nchi hii halipo na halitokuwepo kwa mipango hii.
Leo marekani wameshaondoka kwenye industrialization. Wenzetu wameshabuka stage agrarian (kilimo) , wakavuka stage ya Viwanda.. Leo wapo kwenye service industry ..mambo ya manufacturing wameewachia China.
Kipindi hiki China wanatengeneza mouse, desktop marekani wanatengeneza program inayoweza kuiendesha hiyo desktop.
Dunia inakimbia siye bado tuna mawazo ya mwaka 1960..kwa technology hii iliyokuwa bado tuanaamini kupeleka serikali Dodoma ndo kusogeza huduma mwa wananchi. Wafrika tumelogwa. Mungu atusamehe kwakweli! Wakenya wanatuacha na uslow na bureaucratic zetu za maamuzi. Kuna watu wanaamini bora tungeendelea kutawala mpaka miaka ya 1990 maana hamna cha maana tulichofanya. Nadhani tungepata Uhuru miaka ya 90 mwanzoni tungekuwa mbali sana.
Tatzo la Tanzania ukipata kiongozi mzuri basi lazima awe anachelewesha maamuzi..na ukipita mwenye maamuzi basi maamuzi yake ni mabaya na yenye ubabe usio na ueledi na tija.
Laksa chika
Mchambuzi wa masuala ya Uchumi
Lakasachika8@gmail.com