Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya.

Kumbe LEMA anasema mshahara wa mbunge Mdogo ama uongezwe

Britanicca
 
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya….

Kumbe LEMA anasema mshahara wa mbunge Mdogo ama uongezwe

Britanicca
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.

Ni aina ya wale Matejoo wa Ngurero.

Hana busara Wala hoja. Mara nyingi huwa anongea Kama mtu mwenye matatizo ya AKILI.
 
Ndo maana alikopa sana mwisho wa siku madeni yakawa hayalipiki akakimbilia ulaya akidanganya watu utawala uliokuwepo ulikuwa na nia ya kumwangamiza.

Yaani Lema afuatiliwe na Magufuli kwa lipi? Baada ya Magufuli yupo mama Samia bado hataki kuja! Very stupid guy! Madeni madeni.

Hujui kuwa dhamani ya fedha inaendana na uchumi wa nchi? Canada ukiwa na dollar 8000 na Tz ukiwa na dollar 8000 yupi atafanya mambo makubwa?

Aendelee kuolewa tu na wanaume huko.
 
Sijui ni watu kuelewa ama la!.

Kwa nilichomuelewa Lema, ni kuwa wale wanaofanya Crypto currency wana-earn more than what MPs earn monthly.

Kwamba, bila shaka kuna vijana wanafanya biashara ya sarafu mtandao ambao kipato chao kwa mwezi ni zaidi ya kipato apatacho Mbunge.

Haimaanishi kuwa kipato cha Mbunge ni kidogo na kinapaswa kuongezwa. La Hasha.

Ila bi kidogo kulinganisha na wapatavyo hao vijana wachache.
 
Ndo maana alikopa sana mwisho wa siku madeni yakawa hayalipiki akakimbilia ulaya akidanganya watu utawala uliokuwepo ulikuwa na nia ya kumwangamiza...
Anasema ni pesa ndogo lakini alipambana kufa na kupona ili aupata huo mshahara mdogo.

Kaukosa mpaka leo ana kinyongo, anapambania time huru ya uchaguzi ili imsaidie kushinda apate huo mshahara mdogo
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
 
Soma maelezo yangu mpaka tamati. Nimetanabaisha, kwa vijana wachache.
Sasa kwanini tufananishe ya uchache na ya kila mtu.....

Ambayo ninauhakika anaongelea Canada ambako hiyo $4 000 ni pesa ndogo saana.

Wakati hapa nyumbani milioni 9 ni pesa ndefu saana kwa mwezi.
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
Eti alitaka kuwatumikia wananchi....
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
Na wewe ukaamini kabisa 🤣🤣🤣
 
Ndo maana alikopa sana mwisho wa siku madeni yakawa hayalipiki akakimbilia ulaya akidanganya watu utawala uliokuwepo ulikuwa na nia ya kumwangamiza! Yaani Lema afuatiliwe na Magufuli kwa lipi? Baada ya Magufuli yupo mama Samia bado hataki kuja! Very stupid guy! Madeni madeni!
Hujui kuwa dhamani ya fedha inaendana na uchumi wa nchi? Canada ukiwa na dollar 8000 na Tz ukiwa na dollar 8000 yupi atafanya mambo makubwa?
Aendelee kuolewa tu na wanaume huko!
Kwani Magufuli alivyotaka kumuua TUNDU LISSU, ilikuwa ni kwa lipi?
 
Back
Top Bottom