Tetesi: Serikali yafuta BRN, Magufuli sasa tufutie hii kitu inaitwa "Sekretariati ya Ajira"

Njaro

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
356
786
Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...

Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...

Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...

Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
 
Wakiifuta uhangaike maofisini kutafuta kazi, utaona jito la jiwe. Sekretari at ya ajira ni chombo muhimu sana kukupatia ajira serkalini. Wako makini upendeleo hawana. Nawashukuru nilipata ajira kupitia wao kwa sifa zangu bila kumfahamu yeyote.
 
kweli mkuu , nimemshangaa saana jamaa, sekretariati ya ajira wamejitahidi saana kupunguza nepotism kwenye ajira
 
Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...

Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...

Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...

Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
kama hoja nzito zikiwa zinawaishia ni bora muwe wachangiaji tu kuliko kujifanya wanzilishi wa nyuzi nyingi lakini chovu..ni ushauri tu mkuu...
 
Ilifanikiwa Sana Malaysia ilitakiwa iboreshwe ila kwa kuwa serikali ni ya mwendokasi na mizuka ndo basi tena.
 
Unamaanisha nini mkuu imefutwa au haijafutwa au imefutwa ??? Kama ipo mbona haina bajeti ?

kama hoja nzito zikiwa zinawaishia ni bora muwe wachangiaji tu kuliko kujifanya wanzilishi wa nyuzi nyingi lakini chovu..ni ushauri tu mkuu...
 
Si rahisi unavyofikiri,ni kigezo mojawapo cha wafadhili kutoà fedha za Afya ,na asilimia 80 ya fedha ya afya inafadhiliwa na wafadhili
 
Unamaanisha nini mkuu imefutwa au haijafutwa au imefutwa ??? Kama ipo mbona haina bajeti ?
ndani ya bandiko,je umesoma yaliyomo na kuona mwandishi alivyochanganya mada zaidi ya 1 ilimladi tu aonekane nae kapost?kama angekuwa mtafiti,angeielezea mada yake "kufutwa kwa BRN"na kutoa hoja zinazohusu BRN..sasa yeye anakuja na udaku mwingine wa sekretariet ya ajira,"wapi ni wapi?"mara hali ngumu,mara afungue milango ya ajira,ukiangalia kwa kina kama great thinker hizo ni mada huru kabisa...
 
Back
Top Bottom