Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,125
- 1,469
Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha,
Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti wa mfuko wa kuchochea maendeleo jimboni kwake (CDF) anajua vipaumbele vya Taifa?
Tulikosea, tuliteleza kwa Wabunge wa namna hii, Imani yangu wanayasema haya si kwa bahati mbaya, ni mkakati maalum, uhuni huu ukome 2025. CCM sasa kiko Imara kuliko ilivyokuwa 2020, Ina Mwenyekiti Imara, Makini na Muwazi, Makamu mwenyekiti Imara na makini, Katibu Imara na makini na Wasaidizi wengine makini
Mh. Mbunge, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mama Samia Suluhu Hassan inasimamia dira ya Tazifa ya Maendeleo 2025, mambo yote yanayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita yapo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-202
JIANDAE KUHESABIWA KWA MAENDELEO YA TANZANIA.