Kwa Mujibu Wa January Makamba, Marekani nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kwenye suala la mafuta kuna mambo mawili, bei na upatikanaji.
.
Kwa miezi 16 mwenendo wa bei za mafuta zimepanda, bei zimepanda katika nchi zinazozalisha mafuta na nchi zinazoagiza mafuta.
.
Nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta ni Marekani na hata huko pia bei imepanda.
.
Je Marekani ndio nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani??
 
Ni kweli.

Ila hao wamerekani ni wajanja Sana, kwa kuwa hawataki kuyauza mafuta yao na badala yake wanayahifadhi, Ili yawasaidie wakati wa Shida, kama huu🥺

Hata hao Saudi Arabia, ambao ndiyo tunaambiwa kuwa ndiyo wazalishaji wakubwa wa mafuta Duniani, hawaoni ndani kwa wamerekani
 
Yuko sahihi
Lakini pia Marekani ni big consumer wa mafuta
So inawezekana kiasi kikubwa anachozalisha kinatumika nchini kwake..
Rusdia ambaye ni third largest producer matumizi yake sio makubwa na kiasi kikubwa nakiuza kwa nchi nyingi za ulaya na dunia...
Nje ya mada,
MGK simsikii saivi anadunga mishe gani? kwangu Mimi Rap devil ni pini kali kuliko kill shot.
 
Ni kweli.

Ila hao wamerekani ni wajanja Sana, kwa kuwa hawataki kuyauza mafuta yao na badala yake wanayahifadhi, Ili yawasaidie wakati wa Shida, kama huu

Hata hao Saudi Arabia, ambao ndiyo tunaambiwa kuwa ndiyo wazalishaji wakubwa wa mafuta Duniani, hawaoni ndani kwa wamerekani
Kwa Mujibu Wa BBC nchi zinazozalisha Mafuta Kwa wingi ni
3.Urusi kwa uzalishaji wa mafuta duniani.
2.Marekani Kwa uzalishaji na
1.Saudi Arabia ndio ya Kwanza Kwa Uzalishaji wa Mafuta Duniani
 
Kwenye suala la mafuta kuna mambo mawili, bei na upatikanaji.
.
Kwa miezi 16 mwenendo wa bei za mafuta zimepanda, bei zimepanda katika nchi zinazozalisha mafuta na nchi zinazoagiza mafuta.
.
Nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta ni Marekani na hata huko pia bei imepanda.
.
Je Marekani ndio nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani??
Ndio ukweli huo au wewe hujui? Nadhani wewe ni kati ya mburula msiojua kwamba Marekani ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mafuta Duniani.

Na kwa kufungulia akiba yake Kawa mzalishaji mkubwa zaidi.

Kana kwamba haitoshi Marekani yuko top 10 kwa Nchi zenye proven reserves ya mafuta.
 
Unaweza kununua mafuta kutoka Marekani?
Ni kweli.

Ila hao wamerekani ni wajanja Sana, kwa kuwa hawataki kuyauza mafuta yao na badala yake wanayahifadhi, Ili yawasaidie wakati wa Shida, kama huu

Hata hao Saudi Arabia, ambao ndiyo tunaambiwa kuwa ndiyo wazalishaji wakubwa wa mafuta Duniani, hawaoni ndani kwa wamerekani
 
Anairudia sana hiyo kauli as if ndio absolute truth.

Nchi yenye reserve kubwa ya mafuta ni Venezuela, ikifuatiwa na Saudi Arabia. Middle East kuna 50-70% ya serve yote ya mafuta duniani.

Alikadhalika nchi yenye uwezo wa kuzalisha mafuta kwa wingi ni Saudi Arabia halafu wana break even at $15-20 barrel, wakati USA mafuta yao mengi yanavunwa through ‘shale process’ break even ni $50 a barrels.

Sasa kwenye hii biashara ili kila mtu ale wanawekeana quotas kuhakikisha there is just enough supply kila mtu apate faida kwa wazalishaji wa USA at least bei ya soko iwe upwards of $70 a barrel. Ndio maana marekani anaweza kuwa mzalishaji mkubwa kwa sababu anaachiwa tu.

Lakini wakitibuana kwenye hayo makubaliano ya quotas Saudi Arabia akianza fujo wakati break even yake ni ndogo, halafu anayo mengi ardhini na ana uwezo wa kuzalisha kushinda mtu yeyote. Saudi Arabia akiamua kuharibu hao wazalishaji wa marekani wanaomba yaishe haraka sana.

Saudi Arabia anao uwezo wa kuwatoa kwenye biashara wazalishaji wadogo wa US akiamua kuleta fujo ata mafuta yakiwa $20 a barrel bado anafaida, wakati mafuta yakishuka mpaka $40 a barrel makampuni mengi USA yanasimamisha production.

Watu wanaoweza mashambulizi ya Saudi Arabia ni Iran na Russia; na wenyewe wakianza fujo inabidi waitane mezani wakae wayamalize.

Au siku OPEC wenyewe kwa wenyewe watibuane (ambao kwa umoja wao wanamiliki 80% of global reserves) ndio ata elewa hao Russia na USA ni watoto wadogo tu.
 
Kwa Mujibu Wa BBC nchi zinazozalisha Mafuta Kwa wingi ni
3.Urusi kwa uzalishaji wa mafuta duniani.
2.Marekani Kwa uzalishaji na
1.Saudi Arabia ndio ya Kwanza Kwa Uzalishaji wa Mafuta Duniani
kumbe jibu unalo na unaweza ingia Google?

Crude Oil Production​

CountryLastPreviousReferenceUnit
United States1137111567Jan/22BBL/D/1K
Russia1049910503Dec/21BBL/D/1K
Saudi Arabia1030010225Mar/22BBL/D/1K
Canada47004656Dec/21BBL/D/1K
Iraq41484260Mar/22BBL/D/1K
China38783969Dec/21BBL/D/1K
United Arab Emirates29702954Mar/22BB
 
World's biggest oil producers
  • United States: 19.51 million bpd.
  • Saudi Arabia: 11.81 million bpd.
  • Russia: 11.49 million bpd.
  • Canada: 5.50 million bpd.
  • China: 4.89 million bpd.
  • Iraq: 4.74 million bpd.
  • United Arab Emirates (UAE): 4.01 million bpd.
  • Brazil: 3.67 million bpd.
 
Back
Top Bottom