Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika...
Wanabodi,
Watia nia wa CCM wamefikia 42, naomba tuwagawe kwenye makundi 10 ya Top Ten, ambapo makundi matano ya mwanzo ni determinant .Wagombea watakaojirudia rudia kwenye listi 5 za mwanzo...
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma...
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na...
Serikali ifanye uamuzi mgumu, hii ni biashara ya hasara, nadhani ATCL wajikumbushe sababu zilizofanya ATC ikafilisika, abiria sita ni sawa na milioni mbili laki nne kwa nauli ya laki nne...
Taarifa kutoka Mjini Mafinga Mkoani Iringa inaonyesha kwamba , Baraza la wanawake wa Chadema ( Bawacha ) leo limetoa mafunzo elekezi ya kuwapa uwezo wakina mama wa eneo hilo wa kudai Katiba mpya ...
Hii ndio Taarifa iliyopatikana leo kutoka huko Mwanza , Watuhumiwa hao walikamatwa kwenye kanisa Katoliki Kawekamo huko Mwanza , kwa tuhuma za kutisha za kumuombea Aliyekuwa Mtuhumiwa wa Ugaidi...
Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu.
Suala hili...
Mheshimiwa Rais Magufuli , naomba unagalie suala la vyombo vya habari komataifa, usisite kuvifungia hapa, Al jazeera, V.OA na DW ni mara mia ukavichunguza kwa kina vyombo hivi.
Al Jazeera...
Waziri mkuu wa zaman aliyejiuzulu kwa Kashfa ya Richmond ameeleza hayo katika mkutano alofanya na watu wake monduli kuwa
"1. Namuheshimu rais kwa Mujib wa katiba ya JMT lakin waliniibia kura zangu...
Kwanza mkuu wa nchi nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya mpaka sasa tuache ushabiki na misimamo we unapiga kazi kwa hali na mali na Mungu anakuona kwa Hilo,
Lakin Mkuu kuna teuzi umezifanya...
Juzi Rais wa Uruguay ameikataa pensheni yake na kusema usaidie watu maskini,
Ikanikumbusha Tanzania ni mwanasiasa mmoja pekee Zitto aliwahi kukataa pensheni ya ubunge na mpaka sasa hapokei posho...
Habari wakuu,
Tuna kila sababu sisi watanzania kumshukuru Mungu na kutoa fungu la Kumi kwa Kutupatia Rais Magufuli,
Mataifa mengi yanatamani sana kuwa na kiongozi anayefanya ambayo magufuli...
Msemaji wa Tanesco Dr Mwambene amesema katika hitilafu iliyotokea Morogiro jana kwa bahati nzuri transfoma haijaungua hivyo matengenezo yanaendelea.
Mwambene amesema kwa sasa Morogoro inapata...
BRN YA KIKWETE YAZIKWA RASMI IKULU.
Rais John Magufuli ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau - PDB) ambao...
Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda akiwa kwenye kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa Taifa, hayati Mwl. Nyerere ameongelea misaada na masharti yanayokuja nayo. Pinda amesema...
Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi.
Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria...
Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kufika katika kiwanda cha uzalishaji magari cha Alli Masoud maarufu Masoud Kipanya ili kufanya ukaguzi...
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa Makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.
CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.