Mwalimu Nyerere kama muasisi wa CCM hakuacha succession plan nzuri ndio maana taifa letu ndio maana taifa linaumizwa na ufisadi.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,085
6,564
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.

CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.

Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.

Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere kwa mambo tunayoweza kuyatatua wenyewe ni ukosefu wa maarifa tu.

Nyerere (RIP) hayupo tena, kama tukishindwa kutatua matatizo yetu tujilaumu sisi wenyewe.
 
Mataga umefikia kudai Katiba Mpya!
Kweli yamekufika shingoni.
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.

CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.

Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.

Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
 
Aliwaachia azimio la Arusha mkalipindua tena akiwa hai mkaleta la Zanzibar.

Hata kama angewaachia hiyo "succession plan" kwa akili zenu za 10% msingefuata chochote.

Wacha kumlaumu Nyerere kwa kila kitu bila sababu.
 
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.

CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.

Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.

Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
Unajua maana ya neno "succession plan " ???? Au ukeliokota mahali???🤣😆😁😀
 
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.

CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.

Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga ndio imebakia kuwa msingi wa CCM hii ya leo.

Kwa kuacha taifa ambalo limekua na ukiritimba wa watu wachache kuwafanya wengine wapumbavu huku wakijiona ni wajukuu na watoto wa wafalme wa KiccM alituachaia balaa kama taifa.
Nyerere ndiye aliyeweka term limit ya miaka kumi; Mwinyi akataka kuiondoa ila akashindwa. Utaratibu alioacha Nyerere ni mzuri sana isipokuwa Kikwete alipoanzisha makundi ya mtandao ndani ya CCM akaharibu kabisa political system ndani ya CCM badala ya kuwa chama chenye itikiadi inayojulikana, kikawa chama cha wenyewe wanaoirithiana, ambayo nadfhani wndiyo unayoita succession plan, yaani uongozi wa kurithiana badala ya uongozi unaopatika democratically kama Nyerere alivyoach.. Unamwona mama hapa kachukua timu nzima ya mtandao wa Kikwete tena kwa mfumo wa kurithiana. Unfortunately Kikwete hataki kusema kuwa amashamaliza muda wake atulie, mpaka sasa hivi anaendesha kundi lake la mtandao ndani ya CCM kwa kurithiana.
 
Nyerere ndiye aliyeweka term limit ya miaka kumi; Mwinyi akataka kuiondoa ila akashindwa. Utaratibu alioacha Nyerere ni mzuri sana isipokuwa Kikwete alipoanzisha makundi ya mtandao ndani ya CCM akaharibu kabisa political system ndani ya CCM badala ya kuwa chama chenye itikiadi inayojulikana, kikawa chama cha wenyewe. Unamowna mama hapa kachukua timu nzima ya mtandao wa Kikwete tena. Unfortunately Kikwete hataki kusema kuwa amashamaliza muda wake atulie, mpaka sasa hivi anaendesha kundi lake la mtandao ndani ya CCM.
Mkuu degree yako ya Udsm inafanya kazi.
 
Nyerere alitanguliza utaifa mbele matokeo yake akawaachia kina mwinyi wakatuletea mafisadi na kuwaleta hawa kina kikwete wanaoimiza nchi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom