Gerson Msigwa: Baada ya kununua ndege mpya tumeongeza marubani kutoka 11 hadi 100

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za marubani wa kitanzania kutoka 11 hadi kufikia100 sasa.

Ikumbukwe ununuzi wa ndege hizi ulipingwa sana na Chadema.

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”
 
Msigwa ni mpuuzi mmoja hivi aliye zero kichwani. Kama anataka kufananisha kila kitu na mataifa ya Ulaya basi afananishe na mishahara. Zero kabisa jamaa.
 
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za marubani wa kitanzania kutoka 11 hadi kufikia100 sasa.

Ikumbukwe ununuzi wa ndege hizi ulipingwa sana na Chadema.

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”
Rubani 100 tunawalipa Nini hawa madereva mbona km hakuna uhusiano wa mapato ya atcl na malipo ya wafanyakazi wake..!
 
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za marubani wa kitanzania kutoka 11 hadi kufikia100 sasa.

Ikumbukwe ununuzi wa ndege hizi ulipingwa sana na Chadema.

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

Tuwasubiriii
 
Duuuh kwel namba hazidanganyi yeye angetuambia etcl ina marubani wangapi wa kibongo na wanarusha ndege gani sio cjui itaongeza tumechoka na haya maneno ata mradi wa reli walisema ivyo ivyo ila mpaka saiz ni uongo mtupu noooo ajira
 
Ndege chakavu huuzwa wapi?
 
Duuuh kwel namba hazidanganyi yeye angetuambia etcl ina marubani wangapi wa kibongo na wanarusha ndege gani sio cjui itaongeza tumechoka na haya maneno ata mradi wa reli walisema ivyo ivyo ila mpaka saiz ni uongo mtupu noooo ajira
Acha hasira, hajasema itaongeza amesema imeongeza japo ndege zilizopo zipo uwanjani zinalalia, inaelekea zilipoletwa zilikuwa tayari zinatetea.
 
Back
Top Bottom