Sera ya Uzazi wa Mpango Imefutwa? Au ni Fuata Mkumbo tu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,821
71,274

Hii kauli ya kuzaa bila kufuata uzazi wa mpango ambayo ni Sera ya taifa ni kuvuruga watu.

Sasa mkuu wa mkoa wa Mwanza ana hamasisha wananchi masikini vijijini kuzaana sana "eti kuwa na Magufuli wengi" ni upotoshaji mkubwa sana, labda nia yake ni kuongeza idadi ya kaya masikini zinazo hudumiwa na TASAF.

Tabia hii ya viongozi kuropoka ropoka ili kutafuta sifa za kumuunga mkono Rais zinazidi kulipotosha taifa na kufanya hata hao wahisani kutuona mazuzu.
 
UCHUMI unakuwa kwa 4% -5%,na sisi tunaongezeka kwa 1.5% -2%,hii ni hatari kubwa mno,kwa nchi kama Tanzania yenye eneo dogo tu kuwa na zaidi ya 50M YA WAAKAZI,elewa Botswana INA wakazi chini ya 5M,Namibia less than 10M,na maeneo ya nchi hizi hatujapishana sana,
 
Jambo la Muhimu sasa hivi ni kununua ardhi ufanye hapo hata kilimo cha kizushi 2050 tutakuwa utitiri, watoto wako wasije kukulaumu baba kwa nini ulikuwa umelala
 
Hawa watu wanafanya mzaha, unahimiza kaya maskini kufyatua watoto, seriously!?
Mwanzo 1:28. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa ...
 
Kumbe! Kwa hiyo Sera ya uzazi wa mpango imefutwa kwa sababu Magufuli alitamka vile?
Unaijua hatari ya kutamka hayo kwa wale wasio na elimu?
 
UCHUMI unakuwa kwa 4% -5%,na sisi tunaongezeka kwa 1.5% -2%,hii ni hatari kubwa mno,kwa nchi kama Tanzania yenye eneo dogo tu kuwa na zaidi ya 50M YA WAAKAZI,elewa Botswana INA wakazi chini ya 5M,Namibia less than 10M,na maeneo ya nchi hizi hatujapishana sana,

Kwahiyo wewe ndo una haki ya kuishi peke yako?
 
Hii kauli ya kuzaa bila kufuata uzazi wa mpango ambayo ni Sera ya taifa ni kuvuruga watu.

Sasa mkuu wa mkoa wa Mwanza ana hamasisha wananchi masikini vijijini kuzaana sana "eti kuwa na Magufuli wengi" ni upotoshaji mkubwa sana, labda nia yake ni kuongeza idadi ya kaya masikini zinazo hudumiwa na TASAF.

Tabia hii ya viongozi kuropoka ropoka ili kutafuta sifa za kumuunga mkono Rais zinazidi kulipotosha taifa na kufanya hata hao wahisani kutuona mazuzu.

Yeye ana watoto wawili au watatu, wenzake anawamnia wapambane kufanyana. Ujinga ni mzigo.
 
Alisikika jamaa mmoja aiyesomeshwa kwa kodi za watanzania akilalama tutashitakiwa MIGA MIGA

Source : mwanasheria uchwara
 
Hii kauli ya kuzaa bila kufuata uzazi wa mpango ambayo ni Sera ya taifa ni kuvuruga watu.

Sasa mkuu wa mkoa wa Mwanza ana hamasisha wananchi masikini vijijini kuzaana sana "eti kuwa na Magufuli wengi" ni upotoshaji mkubwa sana, labda nia yake ni kuongeza idadi ya kaya masikini zinazo hudumiwa na TASAF.

Tabia hii ya viongozi kuropoka ropoka ili kutafuta sifa za kumuunga mkono Rais zinazidi kulipotosha taifa na kufanya hata hao wahisani kutuona mazuzu.

Kama naibu waziri anaweza kuwa na watoto wanaopishana miezi 12 unategemea nini ?
 
Back
Top Bottom