Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Hii kauli, Marehemu asemwi. Kuna tofauti kati ya kumsema vibaya marehemu na kusema matendo yake. Utamuduni mzuri ni kila mtu asemwe kwa matendo yake ili tujifunze kuwa vitabu vizuri ktk maisha. Ni aibu kujenga utamaduni wa kuogopa Mtu aliye kufa kuliko tunavyo heshimu haki/uadilifu.
Godbless Lema
Godbless Lema