Mo Ibrahim: Tanzania nchi ya ajabu kupinga uzazi wa mpango, wakati nchi inategemea misaada kujiendesha kwa zaidi ya 30% ya bajeti yake

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mo Ibrahim: "One issue that is taboo in #Africa is #familyplanning. Why is that? I can't understand how our brother in #Tanzania can say women shd have more children, when the average woman has 6 children & 1/3 of the govt’s budget is supported by donors." #UNGA #ICPD25 #SDGs
IMG_20190925_145207.jpg

IMG-20190924-WA0075.jpg
 
Waache uhuni, sisi tuko vizuri hatutegemei mtu ndio maana tunatekeleza miradi yetu na fedha za ndani...

Watu wazaane tu hakuna shida Elimu bure watasoma, mahospitali kila kona watatibiwa na kila raia tutampa bima,, Heko JPM na awamu ya kwanza..
 
Prof. Kabudi atakuwa amehudhuria UNGA hivyo atampatia Mo Ibrahim jibu mujarabu la kwanini Tanzania tunasisitiza kuzaliana kwa wingi.
Halafu Mo atuwache tuzaliane kwani anateseka nini labda na sisi tukapata wakina Mo wengine wengi wakakomboa nchi yetu.
Aache wivu Wa hadharani....
 
Bora hajasema eti misaada asilimia 100.. atuache kutaka tukae kama nchi yetu sio tajiri.. tutajisukuma tuvune matunda mema tuliyopewa na Mwenyezi Mungu.. Hapa kazi tu.. uvivu tumeacha kuuchekea.. tunasukumwa wananchi tu utokomeze..

Wamrudishe tena miaka ijayo.. atakosa la kusema bali kutamani

...hapo kaongea akiwa New York.. kwa ya Africa Centre na donation ya Aliko Dangote Foundation...
 
Waache uhuni, sisi tuko vizuri hatutegemei mtu ndio maana tunatekeleza miradi yetu na fedha za ndani...

Watu wazaane tu hakuna shida Elimu bure watasoma, mahospitali kila kona watatibiwa na kila raia tutampa bima,, Heko JPM na awamu ya kwanza..
Una tabu kichwani mwako. Deni la taifa limeongezeka kwa all most 100% kwa miaka minne. Halafu UnasemaJe unatumia fedha za ndani ?! Unaelewa ulichokisema ?!.
 
One of the global current issue ni overpopulation ya Africa itafanyiwa nini wakati ni dependent kwa 100% na still tuna underproduce ,kwa mtu ambaye ana uelewa mpana wa mambo ya global ni kwamba tunatengeneza tatizo sasa ukiwa mkuu wa nchi kwanini ushiriki katika kutengeneza disaster ?
Pili population ambayo tunayo hatujaweza kui utilize ipasavyo (under utilized) kwanini utake kingi zaidi wakati kilichopo kimetushinda?

Hapa ndipo utakapoelewa vision ya Africa ni vague unategemea nini kwenye mission yake kama sio kuzima moto?
 
Back
Top Bottom