Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,340
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe.

Ikiwa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasamehe.

Ameyasema hayo na kunukuliwa na vyombo vya habari katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi kwenye jimbo la Hai.

Bali bado hatujajua kama Msamaha huu unamhusu pia aliyekuwa OCD wa Hai kamanda Mpina au la.
 
Akili zake ni kama huyu mwenzake hapa chini

JamiiForums-852320468.jpg
 
Tsh bilion 1.5 zilizotolewa na samia ukaamua kwenda kujenga barabara moja tu kwenye kata moja kati ya kata 17, itakugwarimu mwaka 2025.

Tena barabara inayojengwa inaelekea nyumbani kwako na hukukubali kufuata maelekezo ya Rais kuhusu kila kijiji au kata kupata fedha hizo za barabara.

Usipoteze nguvu nyingi na muda mwingi ukidhania utarudi tena , na Hai ni nadra kukupa kura mara ya pili.
Anza kutafuta kazi ya kufanya muda ukifikia
 
Mh Saashisha , ambaye alijulikana kama Team Sabaya , kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote , leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguk...
Mbunge wa Hai (CCM), angalia barabara za vijijini kuna ufisadi mkubwa umefanyika kupitia wakandarasi .
 
Jimbo la Hai ,sabaya anakiri kuwa kura hazikuhesabiwa na ndio laana iliyompata
Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.
 
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe...
1646842947994.png
 
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe.

Ikiwa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasamehe.

Ameyasema hayo na kunukuliwa na vyombo katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi kwenye jimbo la Hai.

Bali bado hatujajua kama Msamaha huu unamhusu pia aliyekuwa OCD wa Hai kamanda Mpina au la.
View attachment 2144768
 
Back
Top Bottom