Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.

Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
 
Samahani mkuu, mmeona wewe na nani hadi utuletee simulizi kana kwamba nasi tulikuepo huko Tanga na Mwanza...!!
 
Mamlaka ya uteuzi Kama itampendeza, viongozi wetu wengi hawaandaliwi,ukiwa na mtu wa kukushika mkono,unakabidhiwa madaraka hukuna vetting siku hizi
 
Ulipoandika tu "Haina" tayari nikajua kabisa hapa kuna tatizo.
 
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.

Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Jaza serves mama.
Uwanja ni wako. We jaza tu
 
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.

Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Hata kama watawapangia ila taswira ya Mama Samia ni chafu sana si kwa machinga tu bali kwa ordinary Tanzanian. Halafu mnaosema Mama tunamchukia mnakosea sana, Mama alikuwa makamu wetu ila tu kauli na matendo yake kwenye baadhi ni mabaya mno
 
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe.

Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
Inatosha wakalime ndizi tuje kununua tukajaze mjini
 
Awamu hii hakuna mtu anaguswa.

Hao ni mashujaa.

Temporary office kwa milioni mia.

Hapo anafanya uwekezaji wa ndani hela inazunguka mpaka inamfikia mama ntilie.

Safi sana.
 
Back
Top Bottom