Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi. Lakini pia...
22 Reactions
81 Replies
6K Views
Huu ni upigaji mkubwa sana, na still hakuna hatua za maana zitakazo chukuliwa, zaidi ya watu kuhamishiwa taasisi zingine, au kutumbuliwa na kibaya sana ni sisi wananchi kuingiza utani na mzaha...
21 Reactions
119 Replies
6K Views
Ni ukweli kuwa upinzani uko I. C. U tangu kuanguka kwake 2020 ,hii ilikuwa baada ya Magufuli kupiga kazi ya zaidi ya miaka 50 ndani ya miaka 5 (hii ni kwa mujibu wa Rais Ally Hasani Mwinyi) dunia...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanajamvi,kama kweli huyu jamaa ni mzalendo na kama anachukia ufisadi kwanza kemea ufisadi wa nchi hii waziwazi, na pia akane kushurikiana na ccm waziwazi tena kwa vitendo. Na kama Zitto ni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa...
23 Reactions
124 Replies
6K Views
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli. Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo...
19 Reactions
70 Replies
6K Views
... Inakaribia Kupasuka!. Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma...
45 Reactions
160 Replies
16K Views
To Mh. Tundu Lissu and Mh. Zitto Kabwe... Life's challenges are not supposed to paralyze you; they're supposed to help you discover who you are. There are no great people in this world, only...
86 Reactions
174 Replies
17K Views
Wanabodi, Nimekuwepo Dodoma kwa haya na yale na miongoni mwa mengi, nimepata fursa kuzungumza na ZZK kuhusu his presidential bid ya 2015!. Ame confirm bila kuuma maneno kuwa ni kweli yeye ni...
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Hakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau...
16 Reactions
117 Replies
11K Views
Wanabodi, Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu ndege mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli...
25 Reactions
279 Replies
44K Views
Tangu kitambo kidogo,umekuwa ukimnadi Edward Ngoyai Lowassa na kutuaminisha kuwa ndiye chaguo sahihi la CCM na nchi kwa ujumla kwa nafasi ya Urais 2015. Na hivi karibuni,hasa leo,umechomoza kama...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Nyie watani zangu wa upande ulioumia kwa kukosa kututawala kwa yale mabavu yenu,. Najua mnaumia sana kuona mama akirudisha mfumo na chama kwenye default, poleni sana. Ile ya Abdrahman Kinana ni...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
ZITTO KABWE NA ACT, VIONGOZI WA HALMASHAURI ILIYOPATA HATI CHAFU. Waraka wa BASHIR YAKUB. +255784482959. Niliwahi kusema kuwa wengi wa wakosoaji wa serikali ni wapiga kelele. Kuna tofauti kati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi...
18 Reactions
63 Replies
5K Views
Wanabodi, Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila...
8 Reactions
238 Replies
32K Views
Wanabodi, Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa...
30 Reactions
84 Replies
11K Views
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na...
1 Reactions
5 Replies
663 Views
Back
Top Bottom