Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
354
Reaction score
447
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
 
Kuwa werevu,na muwe na hekima,mpumbavu siku zoote kichwa chake kina ngeu nyingi,bali mwenye hekima hulala usingizi mnono,mwenye hekima huchagua neno la kusema,bali mpumbavu huropoka kila alifikilalo kama juha,
 
Utawara kama utawara fulani hauwezi ukafanya yote mazuri na mema kwa watu Kuna kuteleza kama binadamu lakini kwa yale yanayovunja haki za binadamu kwa makusudi au kukiuka Katiba yetu kwa makusudi hapana.Awamu ya tano yalikithiri sana.Na Mungu ni mwenye wivu mno
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.
 
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
Kwa watu wenye uelewa mpana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
 
Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..

Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.

1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.

2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..

Tuombe hili liwezekane 👇

Screenshot_20220415-181500.jpg
 
Kwa watu wenye uelewa Moana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia Sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Wewe una matatizo makubwa Sana kichwani
 
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
Yule mzee kwakweli tulipatikana, halafu kibaya zaidi ameharibu mentality ya baadhi ya vijana,wamekuwa matahila na mzuzu kabisa,

Kamwe dizaini ya bwana hawatokuja kushika madaraka ktk Nchi
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.
Magufuli alikuwa na roho mbaya tu,Nape nae kosa lake lilikuwa Nini?
 
Yule mzee kwakweli tulipatikana, halafu kibaya zaidi ameharibu mentality ya baadhi ya vijana,wamekuwa matahila na mzuzu kabisa,

Kamwe dizaini ya bwana hawatokuja kushika madaraka ktk Nchi
Wangeishia kula bamia na mahindi ya kuchoma huku wanalishwa maneno ya uzalendo na kusingizia beberu, wazalendo wa Chato wakineemeka.
 
Kwa watu wenye uelewa Moana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia Sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi na kidikteta
 
Kuwa werevu,na muwe na hekima,mpumbavu siku zoote kichwa chake kina ngeu nyingi,bali mwenye hekima hulala usingizi mnono,mwenye hekima huchagua neno la kusema,bali mpumbavu huropoka kila alifikilalo kama juha,
Umeonaee,kwanini usikie maneno gizani wewe ujifanye shujaa wa kuyasema hadharani.
 
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi na kidikteta
Wewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
 
Uchungu gani ulio nao wewe? Wizi kipindi cha kina Kinana ni sawa na wizi.kipindi cha Mwendazake?

Pumbavu Sana.
Hata roho yako inakushudia kwamba unao-ongea ni uongo.Niseme hivii,ukiona Rais wenu anapendwa na mabeberu,ujue anashirikiana nao kuwapiga.Sasa tutapigwa.
 
Back
Top Bottom