ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 753
Huu ni upigaji mkubwa sana, na still hakuna hatua za maana zitakazo chukuliwa, zaidi ya watu kuhamishiwa taasisi zingine, au kutumbuliwa na kibaya sana ni sisi wananchi kuingiza utani na mzaha wakati ndugu zetu au Watanzania wenzetu wakiteseka kwa kukosa huduma muhimu kama maji na afya.
Wengi tunashangilia kwa sababu tu tuna vijikazi na tunamudu huduma za private, hii ni sawa lalini vipi hao ndugu zetu wengine hasa huko vijijini?
Tukieendelea kuwa tunachukulia utani na mizaha kwenye mambo serious kiasi hiki, hakika ufisadi hautakaaa uishe, swala sio ufisadi umefanyika awamu gani swala ni hatua zichukuliwe.
Haiwezekani upigaji wa kiwango hiki na watu wanahamishwa au kubadilishiwa kazi ndo basi.
Juzi mama kateua mtendaji mpya wa MSD, ni sasa lakini vipi hao walio sabanisha jio hasara? Au ndo wana stafishwa wakatumie hizo pesa walizo piga?